X wangu kaniambia nimemroga!

X wangu kaniambia nimemroga!

Strong mind zikoje? Zisizoamini uwepo wa supernatural power (Mungu na shetani).

Haya sisi wa weak mind tunaamini kuna power kwenye kila neno litamkwalo, na ukitoa neno la baraka Roho wa Mungu hukamilisha hiyo baraka na ukitoa la laana roho ya muovu hukamilisha hiyo laana.

Ingawa kwa case hii huwezi sema kwa uhakika kama kauli ya mkuu ndio pekee imesababisha hayo. Yaweza kuwa one of the reason au hata isiwe hiyo. Hata wa strong mind (scientist) huwa hawezi sema moja kwa moja ndio maana huwa wana broad spectrum antibiotic.
Mimi na wewe tunakubaliana kitu waumini wa strong mind kina Kongosho wakija utawasikia
 
Last edited by a moderator:
Jana ndoto ilikuwa tofauti kidogo ila nimepata vitatu! niliota nacheza mziki wa ndombolo na mom fay akawa anakatika sana... nikashangaa nimelegea mara 3.nitafsirie ndoto hii tafadhali.

mauno yangu uliyaweza lakini maana kuna ya uzazi +ya pembeni +ya mgando...isiwe ulikuwa unatafuta msiba bure!!.. unipe kesi.
 
Mimi na wewe tunakubaliana kitu waumini wa strong mind kina Kongosho wakija utawasikia
Kongosho hapana labda Kiranga. Kongosho bado hajui anachoamini yuko vuguvugu lkn Kiranga yeye anajua anaposimama. Na siku Mungu akiamua kumtumia (maana huwa anatumia design ya kina kiranga) ataleta tofauti kubwa ktk maisha ya watu.
 
Last edited by a moderator:
Kongosho hapana labda Kiranga. Kongosho bado hajui anachoamini yuko vuguvugu lkn Kiranga yeye anajua anaposimama. Na siku Mungu akiamua kumtumia (maana huwa anatumia design ya kina kiranga) ataleta tofauti kubwa ktk maisha ya watu.

Ngoja aje umsikie yeye na Kiranga same page
 
Last edited by a moderator:
una "natural anciety witches in your body" "mtaje jina then zungumza kwa mkazo "fulani" sasa umepona"ninakuachia na sasa upo huru zaa watoto salama

hamna lolote ni coincidence tu! Siku moja nilikuwa ofisini kwangu nafanya kazi, nakumbuka siku hiyo nilikuwa busy kupita maelezo, mpaka mchana wa saa8 sijatia kitu mdomoni wala kukaa. Akaja bwana mmoja kuchukua pesa, zile pesa nilkuwa nimeshazipanga kabisa ziko pembeni kwenye bahasha ndani ya draw, nina uhakika wa asilimia mia kuwa zilikuwa zimetimia, basi yule jamaa alipoingia tu akakuta nina purukushani vibaya mno akabaki amesimama kama dk kadhaa maana hata viti vilikuwa vimejaa, baadaye akanigutusha tu akasema "mkuu"..nilivoinua macho nikasema "daah, sorry kaka nimekuweka" nikachukua bahasha na kumpa, hakuhesabu pale akaondoka, dk kadhaa akarudi mbiao "samahani kaka hazijatimia"...what?.."kweli kaka"...hiyo pesa nimehesabu kwa umakini sana haiwezekani ipingue (nadhani yeye alivonikuta busy vile alijua nitajichanganya, kumbe ile pesa mimi nimeiweka kitambo kabla hata kazi hazijanitinga), nikamuuliza sh ngapi, akataja....mo way, thats too much siwezi kuchanganya kiasi hicho! akakomaa, nikajikuta kitu kimenipanda kwenye nafsi kimenikaba, nikafungua droo nikachomoa pesa nikampa huku nasema kwa mzuka wa hali juu "KAMA HII PESA NAYOKUPA SIYO HAKI YAKO UTAPOTEZA PESA NYINGI NDUGU YANGU NAKWAMBIA", Jamaa akachukua pesa akaondoka. Baada ya siku kadhaa nikaambiwa na jamaa yangu mwingine, "mbona yule jamaa anakusema vibaya, umechukua pesa yake kimazingara"...dafuq!!!!!? coincidence

siku nyingine tena niko ugenini nikakodi taxi, nikazunguka kidogo nikaingia kwenye ofisi fulani nikamwambia aningoje, muda kama wa saa moja hivi, nilivotoka nikamwambia aniache sehem, karibu tu, nauliza bili akaniambia elfu50...khaaa! bei ya kukodi siku nzima mkoa ule naijua vizuri ni elfu 80 mizunguko ya kawaida na mafuta kwake, huyu nikihesabu haizidi kilometa tano, na muda tuliotumia ni kama saa moja na nusu kuwa naye (mostly waiting), kwa mzunguko ule nisingekuwa na mzigo ningekuwa nimefanya kwa miguu tu! Akakomaa, hasira zikanipanda, nikamwesabia 50 nikawa nimeropoka..."UNAFIKIRI UTATAJIRIKA NA HIYO 50, ITAKUTIA UMASKINI, NDIYO NIMEKWAMBIA HIVYO"!....Loh, kama sjui nini, kesho yake napita mitaa fulani nikamkuta yuko garage, nikamsalimia akaanza kulalamika "KWELI KAKA NDIYO TUNAFANYIANA HIVI KWA AJILI YA VITU VIDOGO TU".....LOH! coincidence.
kuna vitu vinaweza kukutia kwenye mazingira magumu sana bila kukusudia, na watu inakuwa ngumu sana kukuelewa, lakini basi tu inatokea kama bahati mbaya!
 
So kwa kuita kwako coincidence ndio unafikiri inakuwa coincidence? If so then maneno (kuita coincidence) huumba.
mifano uliyoitoa yote inaonesha umewalaani hao watu, ngoja nikuitie Pasco huenda yeye akija na 'power within' yake utamuelewa hata kama usipokubali.

Unaweza kueleza kidogo jinsi gani hiyo inakuwa? kisayansi.
 
mauno yangu uliyaweza lakini maana kuna ya uzazi +ya pembeni +ya mgando...isiwe ulikuwa unatafuta msiba bure!!.. unipe kesi.

Mmm ngoja nikauze nyumba yangu ya gongolamboto kisha nije nipate hiyo ya mgando na pembeni.Lakini 7 utahimili? Naona msiba unautaka wewe maana nina guu la mtoto utaliweza???
 
Huyu alikuwa mchumba wangu ambaye nilimpenda sana na tulikubaliana kuoana. Nilipatwa na matatizo njiani mwenzangu akanambia anaolewa na mtu mwingine (tulikuwa tunaishi mikoa tofauti). Niliumia sana na kutokana na hasira nikamwambia `Tutaona kama utaishi na huyo mwanaume.' Toka hapo sijawahi kuwasiliana naye tena!

Siku za karibuni alinitumia message kwamba anaomba kuongea na mimi, nikamtajia muda ambao ntakuwa free.
Muda huo akanipigia simu na kuanza kunilaumu `@nyalotsi kwanini umenifanyia hivi?'
Nikamuuliza, nimfenyaje?(huku nikiwa na mshangao)
`Umeniroga kila nikipata mimba inatoka, tafadhali sana nisamehe kama nilikukosea! Familia yangu itavurugika.'

Nilikata simu na kuanza kutafakari mambo mengi sana. Ina maana huyu dada kaniona mi mchawi? Mbona hata mizizi ya dawa za kawaida tu siifahamu? Hii laana gani tena? Baadaye nikakumbuka niliwahi kumtishia kwamba hataishi kwa amani na mumewe. Nikampigia simu na kumhakikishia kwamba siwezi kufanya kitu hiyo na wala sio muumini wa mambo hayo.
Nikamshauri pia waende na mumewe hospitali kufanyiwa uchunguzi wa kiafya na wataalamu.!

Kweli duniani kuna mambo!!
chunga sana kinywa chako kwani wanasema mdomo huumba
 
Coincidence tu. There is no any connection between maneno hayo na miscarriage. Zipo sababu nyiingi sana zinazoweza kasababisha miscarriage na zinaelezeka wazi kitaalamu na zinarekebishika. Tatizo hilo linawakumba wanawake wengi duniani, je hao nao walipewa laana na nani? Come on, my great thinkers, what is the logic behind this. Guilty conscious ndo inamsumbua huyo mwanamke. I STAND TO BE CORRECTED. ...!
 
Back
Top Bottom