X wangu amemuita mwanae jina langu

X wangu amemuita mwanae jina langu

Kwani waitwa nani?

Mimi nimetoka na David watatu! Nikipata mtoto nikaamua na Mume wangu kumuuta David hao ma-David watapata bichwa kudhani nimemwita mwanangu hilo jina kwa ajili yao.

Inaweza ikawa ni coincidence tu! Labda analipenda hilo jina ata kabla hajakutana nawe! Au alikua nawe kwa sababu la ilo jina

Ana hofu tu ya jina ambalo hata si la kwake,ajiandae na kwenda ustawi wa jamii kukabikiana na kesi ya kutomtunza mwanae.
Cc mtoa mada popote ulipo. Utauona mziki wa kubania jero na kutonunua ndomu.
 
Shukuru amemuita mtoto wake angefuga mbwa akampa jina lako ndio ungeleta noma
 
Wanafanya sana hata mimi x wangu amemuita mwanae jina langu ni kawaida tu
 
Kwan n ww ilo jina ni lako? C umepewa kam yy alivompa mwanae?
 
habari wakuu?
kuna kitu kimenishangaza,kuna jitu tuliachana nalo,nimesikia limepata mtoto na limemwita jina sawa na la kwangu.
hivi ni halali kweli hata kama sina hati Miliki ya hilo jina?

Tutajie hilo jina ili tujue kama ni lako, tafadhari.
 
Labda alikupendea jina tuu...maana mi pia napenda kuoa wanawake weny majina flani
Nkiona chenga ntamwita mwanangu wa kike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom