X wangu amemuita mwanae jina langu

X wangu amemuita mwanae jina langu

Kuna watoto wa kiume kweli!

1.We mwenyewe umekili kuwa nae.Tuna uhakika gani kama huyo mtoto siyo wa kwako!?

2.Eti kampa jina langu. Hapo unajiariji kwenye mafuriko ya akili mbovu.
Umetembee dunia nzima ukajikuta we ndo una jina hilo tu?

3.Kwa taarifa yako mtoto kapewa jina la baba yake. Kama ni wewe kapewa jina lako.Kama siyo wewe hajapewa jina lako.
Kesho utakuja kutuuliza kwa nini hujamkuta bikra.
Jibu mubashara
 
habari wakuu?
kuna kitu kimenishangaza,kuna jitu tuliachana nalo,nimesikia limepata mtoto na limemwita jina sawa na la kwangu.
hivi ni halali kweli hata kama sina hati Miliki ya hilo jina?


!
!
Je angelipigia puli je?
 
habari wakuu?
kuna kitu kimenishangaza,kuna jitu tuliachana nalo,nimesikia limepata mtoto na limemwita jina sawa na la kwangu.
hivi ni halali kweli hata kama sina hati Miliki ya hilo jina?
Mimi najiuliza ilikuwaje ukawa unatembea na JITU?!
 
BFF$BLF umenikumbusha mbali (best friend forever and best lover forever)
 
Kwani waitwa nani?

Mimi nimetoka na David watatu! Nikipata mtoto nikaamua na Mume wangu kumuuta David hao ma-David watapata bichwa kudhani nimemwita mwanangu hilo jina kwa ajili yao.

Inaweza ikawa ni coincidence tu! Labda analipenda hilo jina ata kabla hajakutana nawe! Au alikua nawe kwa sababu la ilo jina
 
Inawezekana mb*nye yako tamu sana kiasi kwamba imeshindwa kumtoka kichwani... Hongera kwa hilo....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom