X Girl friend kaomba tuonane kesho the whole day

Nenda na UPT na Bioline HIV test,ikiwezekana mpime na aina zote za hepatitis

Fanya vipimo kabla ya chochote
Sisi maex wa kike tunakuwaga na kinyongo cha maisha
Tutopona jamani na hiyo hepatitis. Tunajitahidi kuepuka ukimwi Ila hepatitis na homa ya ini ni balaa jingine
 
Tatizo sio kwenda na vipimo, kwa hiyo unataka kusema Kama ni mzima afanye nae uzinzi

Swala la kuangalia ni mustakabali wa familia yake na sio kwamba ex wake ni mzima au la
Mleta mada anaonekana hajiamini,japo hataki kucheat lakini anaonesha possibilities zipo...ni heri angalau achukue tahadhari ya magonjwa asije kuyapeleka nyumbani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom