X Girl friend kaomba tuonane kesho the whole day

sasa kama mbususu yenyewe inataka kidume uendelee kuigegeda shida ipo wapi?
wewe bwana kuweka tumaini lako pekee kwa mke utakuja kujinyonga siku. labda kama umeoa bikra lakini sio hawa breki pumbu ndugu yangu.

Duuuu, break pumbu ndiyo nini tena
 
My Ex kaniomba sana kesho tuonane tu spend muda wakutosha kwa gharama zake mwenyewe.
Amesema yuko so much stressed with her love affairs hivyo anataka nimshauri

Mimi kwa sasa nimeshaoa tangu tuachane four years back na sitaki kabisa mambo ya ku cheat.
Unahisi atakuwa anataka kuongea tu au na mambo mengine? Mimi nimemwambia tukutane kwenye restaurant sehemu ambayo haina rooms ili kuepuka vishawishi
Kuachana sio Uadui, Kuwa huru kumshauri kutokana na uzoefu wako, tumia hekima sana kwani wanawake wana mihemko, unaweza ukashindwa kumpa jibu sahihi kwa kutoa taarifa zisizo sahihi ili kupata huruma
 
My Ex kaniomba sana kesho tuonane tu spend muda wakutosha kwa gharama zake mwenyewe.
Amesema yuko so much stressed with her love affairs hivyo anataka nimshauri

Mimi kwa sasa nimeshaoa tangu tuachane four years back na sitaki kabisa mambo ya ku cheat.
Unahisi atakuwa anataka kuongea tu au na mambo mengine? Mimi nimemwambia tukutane kwenye restaurant sehemu ambayo haina rooms ili kuepuka vishawishi
Heshimu ndoa muage mkeo kwanza
 
Nyani kakumbuka pori lake.....

Sasa mkuu umekuja kuchukua kibali cha kwenda kuonana au???

Maana kama hutaki kumnyandua na anataka mazungumzo tu na ww hutaki kuchepuka mwambie aje nyumbani kwako tu kama Vp
 
mkeo anajua huo mualiko?....
hutaki ku-cheat sio?
sheitwan yupo bize kwenye simu zenu....wewe na EX wako....
heshimu ndoa yako....delete huo mualiko........kiporo hakichunguliwi....kipo ili kiliwe....ulikimwaga au ulikihifazi.....?..
tukutane kikao cha wanaume leo ijumaa.....es lava.....
Msitutenge na sie jomoni.Nitakuwepo es lava pia nitakuwa counter nina rasta ulizia Masham Tajiri.
 
My Ex kaniomba sana kesho tuonane tu spend muda wakutosha kwa gharama zake mwenyewe. Amesema yuko so much stressed with her love affairs hivyo anataka nimshauri.

Mimi kwa sasa nimeshaoa tangu tuachane four years back na sitaki kabisa mambo ya ku cheat.

Unahisi atakuwa anataka kuongea tu au na mambo mengine? Mimi nimemwambia tukutane kwenye restaurant sehemu ambayo haina rooms ili kuepuka vishawishi.

Atakuwa na plan yakukuingiza ulimu kule ukikubali taratibu marinda unayapoteza wakati ni nyara za serikali
 
Hapo anarudi na vizizi kutoka Tanga anakuwekea kwenye papuchi anaogea nk. Wanawake wa siku hizi washirikina sana hata kama ni msomi vipi. Kafurahie kupiga game tena kwa kupania kitakachofuata siku zijazo itakua siri yako
 
My Ex kaniomba sana kesho tuonane tu spend muda wakutosha kwa gharama zake mwenyewe. Amesema yuko so much stressed with her love affairs hivyo anataka nimshauri.

Mimi kwa sasa nimeshaoa tangu tuachane four years back na sitaki kabisa mambo ya ku cheat.

Unahisi atakuwa anataka kuongea tu au na mambo mengine? Mimi nimemwambia tukutane kwenye restaurant sehemu ambayo haina rooms ili kuepuka vishawishi.
Sasa mbona jibu unalo
 
Kuonana 'the whole day' ni kugegedana.

Maamuzi ni yako, hamchelewi kumsingizia shetani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom