Hi, guys nilikuwa na mpenzi wangu anaitwa janeth,kwa mda mrefu 2likuwa wapenzi kwani 2lianza toka 2009 hadi 2012 tulipotengana,kikubwa kwa mpenzi wangu huyo wa zamani kwanza yeye ndo alinitongoza nikamkubalia alinipenda sana ,alinipa fedha sana,nilianza kumpenda pia,Lakini 2liachana with no reason nilimuomba turudiane alikataa,cha kushangaza baada ya mda mrefu kutokuwasiliana jana kanipigia simu anataka nimsindikize sehemu....JE NIFANYEJE??je,nikamweleze hisia zangu kwake na kuwa ninataka iwe kama zamani??ushauri please.