WWE John Cena autwaa mkanda wa WWE Championship

WWE John Cena autwaa mkanda wa WWE Championship

Alafu wapi nimetaja WWE hapo? Hao kina bones rumble dc ni watu wa WWE sio?
Ona ulivo mchimba chumvi...maana ata simu unayotumia ku-screenshot tu inasema yote!.
Usiongee na mm tena
Haha asante sana kwa kipaji cha kutukana ukikua utaacha
 
We tahaira kweli hata jina lenyewe hujui..mchimba chumvi baki huko uvinza.
Huyo Dwarf..kwanza unajua maana ya Dwarf? Yani midget? Kama hujui nenda gugo..jina lake ni Connor McGregor...sasa we unajifanya unaijua UFC kumbe mbulula tu..
Yani me nichanganye UFC na WWE? We mavi kweli..nazaliwa tu kitu cha kwanza kujua ilikua WWE makalio wewe.

Nilistop WWE miaka mingi iliyopita ...
Afu UFC naangalia sana kila PPV lazima nicheki...na Fight NIghts zote...mfano ni iyo ya Juzi...UFC Denver ambapo Francis Ngannno jamaa wa Cameroon... heavyweight uyo kampiga TKO former heavyfeight Pitbull....wakina Cerrone, wameangukia pua.

Sasa we mchimba chumvi sikia...uyo McGregor anapigania divisheni za dwarf huko chini midget...mimo huawaga siangaalii ma dwarf... mimi huwaga nacheki light heavyweight ya kina Rumbe, Bones na DC na heavyweight ya kina Cain, Miocic, Werdum, Reem,Mark Hunt, Roy Nelson , Big Ben, Cigano
Sometimes nachek game za middleweight mana divisheni imekua interesting ile watu kama Bisbing, Yomero, Weidman,Silva, Jacaro etc

Sasa we mchimba chumvi uko uvinza...usione watu hawapost hayo mambo ukajua ni wachimba chumvi wenzio....hayo mambo yako kwenye damu..sema simchekigi uyo mbilikimo mcgreror na wenzake kina jose aldo.
Mavi wewe
Afu nikushauri tu bure mkuu usipende tu kutukana bure humu mambo ni kuelekezana hakuna aliye kamili unaweza kuta unamtukana mtu wa tofaut maana hatujuani humu japo sio kama nakutisha no ila jaribu kuwa na kauli nzr thn inaonekana haupo vzr psychological trust me fanya kutafta mshaur wa kisaikolojia otherwise utaona kila mtu mbaya na utakua unapanik kila wakat unapata hasira hata kwenye vitu vidogo. Hasira ni tatzo kubwa sana usipoweza kujiswitch mapema unaweza ukakuza tatizo jingine
 
God forbid bado kuna watu wanaangalia hizi futuhi!
 
Back
Top Bottom