WWE John Cena autwaa mkanda wa WWE Championship

WWE John Cena autwaa mkanda wa WWE Championship

haha jamaa kamdis sababu mc...utajiri wake ni dola 2.5m sasa iweje atake dolla 25 m..tukirud kimchezo mcgregoy mateke yanamsaidia pia ila kwa boxing hakuna hilo ...kikubwa tuombee pambano lije kweli tujionee
Mkuu mateke kwa mc ni kidogo sana angalia tu yy anaamini sana mikono yake na ile style yake yakujifanya kama anamasihara hv hayupo makini uwanjani ukizubaa anafumua ndn ya sekunde kadhaa mtu chini yule jamaa safi sana tuombe tu Mayweather asizingue tutafaidi sana ndan ya dkk chache pambano kwisha
 
hahaha sema mcgregor masihara meng sana pambano lake na alvarez la nov 2016 ..alimuona mwali mpaka akawa anaweka mikono nyuma yan nilicheka mno
 
Huyu jamaa safi sana raha ya kitu kukijua bhn
5136d051564f6ce111d3fac1082506df.jpg
 
Kama kitu hukijui tuliaa tu kimya mkuu sio kila kitu lazma uchangie, unachanganya madesa ya WWE na UFC mm nilizungumzia UFC ndo nikamzungumzia O'Connor macgrigory a.k.a the notorious ambaye soon utamuona akizichapa na Floyd money Mayweather junior anamfata huko huko kwenye boxing kumharibia record thn hiko kifupi unachokisemea connor nlishakisahau maana sio fan wa mieleka tangu nikue
e337e3da482799b4dadb93c571d6363c.jpg
We tahaira kweli hata jina lenyewe hujui..mchimba chumvi baki huko uvinza.
Huyo Dwarf..kwanza unajua maana ya Dwarf? Yani midget? Kama hujui nenda gugo..jina lake ni Connor McGregor...sasa we unajifanya unaijua UFC kumbe mbulula tu..
Yani me nichanganye UFC na WWE? We mavi kweli..nazaliwa tu kitu cha kwanza kujua ilikua WWE makalio wewe.

Nilistop WWE miaka mingi iliyopita ...
Afu UFC naangalia sana kila PPV lazima nicheki...na Fight NIghts zote...mfano ni iyo ya Juzi...UFC Denver ambapo Francis Ngannno jamaa wa Cameroon... heavyweight uyo kampiga TKO former heavyfeight Pitbull....wakina Cerrone, wameangukia pua.

Sasa we mchimba chumvi sikia...uyo McGregor anapigania divisheni za dwarf huko chini midget...mimo huawaga siangaalii ma dwarf... mimi huwaga nacheki light heavyweight ya kina Rumbe, Bones na DC na heavyweight ya kina Cain, Miocic, Werdum, Reem,Mark Hunt, Roy Nelson , Big Ben, Cigano
Sometimes nachek game za middleweight mana divisheni imekua interesting ile watu kama Bisbing, Yomero, Weidman,Silva, Jacaro etc

Sasa we mchimba chumvi uko uvinza...usione watu hawapost hayo mambo ukajua ni wachimba chumvi wenzio....hayo mambo yako kwenye damu..sema simchekigi uyo mbilikimo mcgreror na wenzake kina jose aldo.
Mavi wewe
 
Kama kitu hukijui tuliaa tu kimya mkuu sio kila kitu lazma uchangie, unachanganya madesa ya WWE na UFC mm nilizungumzia UFC ndo nikamzungumzia O'Connor macgrigory a.k.a the notorious ambaye soon utamuona akizichapa na Floyd money Mayweather junior anamfata huko huko kwenye boxing kumharibia record thn hiko kifupi unachokisemea connor nlishakisahau maana sio fan wa mieleka tangu nikue
e337e3da482799b4dadb93c571d6363c.jpg
Alafu wapi nimetaja WWE hapo? Hao kina bones rumble dc ni watu wa WWE sio?
Ona ulivo mchimba chumvi...maana ata simu unayotumia ku-screenshot tu inasema yote!.
Usiongee na mm tena
 
na Randy Orton mbioni to the W33 main event kum face Cena for the World Title..ile old time feud between these two parkers is just right back ON....cant wait seeing the viper delivering couple of punts kwa Cena nakuwa 13time world champ
 
Back
Top Bottom