- Thread starter
- #21
Hii inapatikana kwenye receiver zenye uwezo wa kufungua powervu unatumia dish kuanzia 6ft unaipata bure pasipo kulipia hata sh 1/=duh sjawah kuiskikia hyo channel mkuu inapatikana wap kwa msaada zaid
Hii inapatikana kwenye receiver zenye uwezo wa kufungua powervu unatumia dish kuanzia 6ft unaipata bure pasipo kulipia hata sh 1/=duh sjawah kuiskikia hyo channel mkuu inapatikana wap kwa msaada zaid
ntakutafuta mkuu unipe maelekezo mazur aiseeHii inapatikana kwenye receiver zenye uwezo wa kufungua powervu unatumia dish kuanzia 6ft unaipata bure pasipo kulipia hata sh 1/=
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]ntakutafuta mkuu unipe maelekezo mazur aisee
kwan roman rain alisha uacha..??John Cena amempiga AJ Styls katika 2017 Royal Rumble WWE Championship match
Mbona zamani Roman alikuwa na Americankwan roman rain alisha uacha..??
Kama unaangalia kama movie na unainjoy hapo safi sana mkuu mimi nilikua nawaambia wale wanaoamini kinachofanyika pale ni real fight kuwa ile ni show tu kinachofanyika pale kila kitu walikifanyia mazoez before so pale wanaonesha tu thn kama mtu kaumia basi jua ni bahati mbaya wanasema the trick goes wrongmimi uwa nachukulia mieleka kama movie tu ambazo jambaz, anakufa kiuongo na watu wanafurahi tena afadhali wrestling mana wana take real risk mkuu
kweli mkuuKama unaangalia kama movie na unainjoy hapo safi sana mkuu mimi nilikua nawaambia wale wanaoamini kinachofanyika pale ni real fight kuwa ile ni show tu kinachofanyika pale kila kitu walikifanyia mazoez before so pale wanaonesha tu thn kama mtu kaumia basi jua ni bahati mbaya wanasema the trick goes wrong
mh wale watazamaji woote waingie kuangalia maigizo tu!!!! sidhani mkuu. ile ni real fight but wanasheria zao za jinsi ya kupigana thats allKama unaangalia kama movie na unainjoy hapo safi sana mkuu mimi nilikua nawaambia wale wanaoamini kinachofanyika pale ni real fight kuwa ile ni show tu kinachofanyika pale kila kitu walikifanyia mazoez before so pale wanaonesha tu thn kama mtu kaumia basi jua ni bahati mbaya wanasema the trick goes wrong
Kama kitu hukijui tuliaa tu kimya mkuu sio kila kitu lazma uchangie, unachanganya madesa ya WWE na UFC mm nilizungumzia UFC ndo nikamzungumzia O'Connor macgrigory a.k.a the notorious ambaye soon utamuona akizichapa na Floyd money Mayweather junior anamfata huko huko kwenye boxing kumharibia record thn hiko kifupi unachokisemea connor nlishakisahau maana sio fan wa mieleka tangu nikueYani we akili ndogo sana....sasa Connor ndo mbabe???
Na kina Bones, Rumble, Reem, Miocic,tusemeje??
Au kisa ni Dwarf mwenzako?????
mcgregory mkali namkubali ila kwa floyd atatulia sana mkuuKama kitu hukijui tuliaa tu kimya mkuu sio kila kitu lazma uchangie, unachanganya madesa ya WWE na UFC mm nilizungumzia UFC ndo nikamzungumzia O'Connor macgrigory a.k.a the notorious ambaye soon utamuona akizichapa na Floyd money Mayweather junior anamfata huko huko kwenye boxing kumharibia record thn hiko kifupi unachokisemea connor nlishakisahau maana sio fan wa mieleka tangu nikue![]()
Mkuu fatilia vizuri utakubaliana na mm hata mm nilikua kama ww ila nikabaini ukweli ndio maana hata kwenye olympic hamna hiyo kitu au umewahi ckia chombo chochote cha habari duniani kikitoa news za game za WWE kwenye sports news?mh wale watazamaji woote waingie kuangalia maigizo tu!!!! sidhani mkuu. ile ni real fight but wanasheria zao za jinsi ya kupigana thats all
yaaap sky sportsMkuu fatilia vizuri utakubaliana na mm hata mm nilikua kama ww ila nikabaini ukweli ndio maana hata kwenye olympic hamna hiyo kitu au umewahi ckia chombo chochote cha habari duniani kikitoa news za game za WWE kwenye sports news?
Mkuu floyd ni mjanja mjanja kama unamfatilia utajua hilo sio fighter mzuri ila anajua kucheza na muda huwez muweka level zozote hata za akina Tyson Achana na The GOAT huyu jamaa ni janja janja hata last game umeona alikua anazunguka tu uwanja mda uishe sasa tuje kwa macgregory huyu kwanz Ashakula ngumi nyingi za UFC nadhan unajua gloves za wale jamaa ni kuzuia tu nakoz sasa akupigwa na lile puto la boxing c ataona mchezo tu then jamaa anangumi nzito sana angalia game zake kibao kashinda kwa TKO hivyo tutegemee pambano zuri sana japo najua Mayweather junior hawez kubali kukutana na yule jamaa anazuga tu apate umaarufu at the end atagoma kama unafatilia ashaanza mdisi mmiliki wa UFC kwa kutaka 25mill dollars kila pambano atalocheza O'Connor nje ua UFCmcgregory mkali namkubali ila kwa floyd atatulia sana mkuu
Sawa mkuu basi endelea kubishana tatizo hutaki kuelekezwa unataka iwe real wakati ni fake bishana bas hata na google au wikipediayaaap sky sports
Ohoooo john cena namkubali sana , bila kumsahau mr dx na vijana wake hahaa mieleka raha sana hasa ya WWEJohn Cena amempiga AJ Styls katika 2017 Royal Rumble WWE Championship match
Na king'amuzi changu cha star times ngoja nijikalie zangu pembeni niangalie na kusubiria marudio.AFN Sport2 wazuri wanarushaga live mkuu
haha jamaa kamdis sababu mc...utajiri wake ni dola 2.5m sasa iweje atake dolla 25 m..tukirud kimchezo mcgregoy mateke yanamsaidia pia ila kwa boxing hakuna hilo ...kikubwa tuombee pambano lije kweli tujioneeMkuu floyd ni mjanja mjanja kama unamfatilia utajua hilo sio fighter mzuri ila anajua kucheza na muda huwez muweka level zozote hata za akina Tyson Achana na The GOAT huyu jamaa ni janja janja hata last game umeona alikua anazunguka tu uwanja mda uishe sasa tuje kwa macgregory huyu kwanz Ashakula ngumi nyingi za UFC nadhan unajua gloves za wale jamaa ni kuzuia tu nakoz sasa akupigwa na lile puto la boxing c ataona mchezo tu then jamaa anangumi nzito sana angalia game zake kibao kashinda kwa TKO hivyo tutegemee pambano zuri sana japo najua Mayweather junior hawez kubali kukutana na yule jamaa anazuga tu apate umaarufu at the end atagoma kama unafatilia ashaanza mdisi mmiliki wa UFC kwa kutaka 25mill dollars kila pambano atalocheza O'Connor nje ua UFC
hua unadownload wp mkuu maana mie czipat zotemkuu mimi uwa nazidownload tu after the match.., nilijua mimi tu ndo shabiki namba moja kumbe tupo aseeee