elinhowski
Member
- Jan 21, 2013
- 21
- 0
Ha ha...! Udinyane na watu saba tofauti ndio upate wa kuoa..! Mbona wengi wana range kwenye double-digit.
Hoes aint loyal
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ha ha...! Udinyane na watu saba tofauti ndio upate wa kuoa..! Mbona wengi wana range kwenye double-digit.
mara kadhaaa yan imepitiliza hiyo yako
hahahaha
ceteris paribus, outliers zimogo
Utakuwa umevunja record ya dunia
source?
manake hao scientists sioni tofauti yao na waganga wa kienyeji
nahisi mimi nimefika mara ya 50!.. duh!
hizi fall fall hizi ntakuja nishindwe kuamka kwa midondoko!
cc mpenzi wange miss neddy na rafikiye 'Valentina'
kwanza wao kama wao hawakuwa wana-fall in love, zaidi ya ku-fall kwenye experimentations zao maabara!
namkubali mr Albert Einstein, hapa alihitimisha kuwa, ''gravitation has nothing with falling in love''!..
hahahahha wewe ni mkongwe kunako hiyo fani uiifikia umri wa asprin itakuwaje sijui
Love sucks
Big time sucking
HIT N RUN
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli mkuu!.. nowadays ukijifanya unapenda kutoka moyoni, unaumia!
we uko ya ngapi mkuu???
Ya saba kamili