Mkuu inelekea base yako ya information ni finyu, na iko based on solely what you only want to hear.
Ili kupresent argument yangu lazima twende na facts.
- Jengo la AH mwinyi rd ni baya,a monstrous eyesore, kwa vyovyote vile
- Jengo hili limepitishwa na wataalam wetu wa mipangomiji
- Jengo hili lipo sambamba na a major transportation artery ya CBD ya jiji la DSM, na kwa wakati wowote haliwezi kuruhusiwa ku interfere na function hiyo ya barabara kama mjor artery ya jiji.
- Eneo hili lilikuwa a RESIDENTIAL area kwa senior Govt officials
- Jengo hili halina parking lot ku support influx ya magari makubwa au madogo yanayoweza kuwa accomodated hapo lilipojengwa jengo.
Baada ya kusema hayo, mimi ningeongeza ya fuatayo:
- Uozo wa jengo hili hauwezi kutenganishwa na rushwa iliyokithiri katika idara zote za mippangomiji jijini Dsm
- Utetezi kwa jengo hili hauhalalishi matumizi mbaya ya eneo hili ambalo linataka kuhalalisha ukaribu wa barabara kwa matumizi ya kibiashara
- Hatari ya kugeuza barabara ya AH Mwinyi toka status ya kuwa an arterial highway na kuwa a normal street ambayo ina ingilliana na function ya barabara hiyo naona hilo haliko bayana kwa vilaza walioko ofisi za mipangomiji.
- Ni ujinga na kwa kweli kukosa imagination kufikiri kuwa maofisa wa mipangomiji hawana kazi yoyote ku control arcitectural requirements za majengo yanayopelekwa kwao kwa vibali na ruksa ya kujengwa.
- utetezi wa Gaijin , ni narrow minded na hata mifano yake imejikita katika miji ambayo ni ya ulaya. Nungemshauri aanglie juhudi za maksudi zilizotumika kujenga miji kama Chandirgah, huko India, na ndiyo pengine anaweza kuelewa mchango wa architecture kwa town planning.
Bado ninasema kati ya proffessionls wanaotuangusha nchini ni hao katika fani ya mipangomiji, hawako objective, rushwa kibao, na end result ni kama jengo linaloonekana pale AH Mwinyi rd, jengo halina mvuto, ni baya,matumizi yake ni utata mtupu, lakini kuna watu wenye uthubutu wa kulitetea.
1. Ubaya na uzuri wa nje wa jengo ni subjective na mipangomiji haina haki wala wajibu wa kuamua hilo
2. Ili lipate kibali cha ujenzi, limepitishwa na mipangomiji ila sio kwa kuangalia uzuri wake wa nje kwa sababu si kazi yao
3. Matumizi mabaya ya eneo kwa mujibu wa nani? Inawezekana kweli kukawa na matumizi mabaya lakini Hadi hapa hujaonyesha ushahidi wa hilo
4. Hujaonyesha lina interfere vipi na function ya barabara bado, hata kama ni kweli
5. Sheria za zoning za residential areas zinaeuhusu uwepo wa maduka makubwa kama hayo, migahawa, pubs, schools, social halls. Kwa hiyo sio kuwa hakuna ajabu kuwepo kwa mall eneo la residence, bali inakwenda sambamba na mipangomiji katika Miji ya kisasa
6. Halina parking kwa sababu kwenye picha hii haionekani au kuna vyanzo vyengine vya ushahidi wako? Ukiambiwa kuna underground parking jee utasemaje?
Baada ya kusema hayo, kwa picha hii moja iliyoletwa, hatuwezi kuhukumu makosa ya mipangomiji hata kama yapo.
Muonekano wa nje wa jengo si kazi ya mipangomiji ya duniani kote, na haitakaa iwe kazi ya mipangomiji ya Tanzania, ever.
*Tanabahi
1. "upana" wa akili yako unaokuendesha kutaka mipangomiji iangalie uzuri wa nje wa jengo unapingana na kanuni na taratibu za kisasa za mipangomiji zilizoanzishwa karne ya 18 na kuendelea kufanyiwa marekebisho hadi sasa.
Kaa chini ujipime, nani mwenye mtazamo finyu baina ya wewe au magwiji wa mipangomiji maelfu kadhaa wa tangu karne hizo hadi sasa
2. Mifano ya miji ya Ulaya na Asia, katika nchi zilizoendelea huitaki wakati wewe ndie uliekuja na hadithi za miji ya kisasa, unataka mfano wa Bamako au Timbuktu?