Uwezo wa kufikiri wa mwanzisha mada na wewe ndio unaotia mashaka na wala si uwezo wa mchoraji.
Hivi kwa akili zenu, ni mchoraji ndio huamua cha kuchora au huambiwa achore kitu kitakachokuja kujengwa kutokana na matakwa ya mteja?
Huyu aliyeanzisha mada amekiri kuwa hajui ni ofisi, godown au kitu gani, lkn bado kwa akili yake fupi akaendelea kukosoa. Kwa hiyo mnataka kusema nyie ndio mna akili saana kuliko mwenye kumiliki jengo. Au mnaamini kuwa mchoraji anatakiwa ajichoree anachotaka yeye na sio kuchora alichoambiwa na mteja wake?
Kazi ipo, GTs hao!
Kwa hiyo kwa akili yako fupi kazi ya mchoraji ni kuchora tu kama robot - yaani akibonyezwa tu anachora bila hata kutumia ubunifu wowote wala weledi aliousomea na kuufanyia kazi kwa miaka mingi. Wewe sio tu kuwa una akili fupi bali hujui hata mchakato wa uchoraji wa jengo, majukumu ya mchoraji na ujenzi wenyewe ukoje.