masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
- Thread starter
- #101
Nilidhani ni mimi pekee ndio napata mshangao ninapopita pale kumbe wapo na wengine? Lakini ndio uwezo wa baadhi ya wataalam wetu wa uchoraji hapa nchini.
Sio uchoraji tu, hata ujenzi wenyewe wa mashaka mashaka!
View attachment 81935
Haya basi sasa tunawajua wataalam wetu!!!!!
Na hapo sioni cha mall wala movie theatre, mwendo mdundo!!