Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,591
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=-x6VhNCKw5Q"]YouTube- WORLD LARGEST SNAKE FOUND DEAD![/ame]
Dah karibia nitupe taptonga mambo gani haya, nimeogopa.
Nasikia wanawake wengine wakistuka kwa woga wanajikuta wameshafika kwenye unajimu bila kujijua. Vipi, uko sawa dada?Dah karibia nitupe taptonga mambo gani haya, nimeogopa.
Kiongozi unaogopa nyoka? Mbona naambiwa kule kwenu kucheza na nyoka ni sehemu ya utamaduni wenu?Lol....hata mimi mwenyewe hivyo hivyo aisee....yaani nimeruka hapa kaa mtoto mdogo vile
Nasikia wanawake wengine wakistuka kwa woga wanajikuta wameshafika kwenye unajimu bila kujijua. Vipi, uko sawa dada?
Hapo kwenye red sifahamu maana yake teh teh teh
Lakini kijasho chembamba chanitoka.
Pole Kaka Julius, kwani hukuangalia kabla ya kuweka hiyo video maana kuna waoga humu kama sisi wasije wakafanya damage kubwa na PC zao.Lol....hata mimi mwenyewe hivyo hivyo aisee....yaani nimeruka hapa kaa mtoto mdogo vile
Ha ha ha ha, si unaona sasa nimeogopa mpaka........ dah ngoja nikacheki.Kila mwezi si mnafanya unajimu nyie? Labda kama mambo yameharibika. Nway, nashukuru hujanielewa.
Kijasho gani tena yailahi toba?
Ngoja niwahi gym.
Lol....hata mimi mwenyewe hivyo hivyo aisee....yaani nimeruka hapa kaa mtoto mdogo vile
Mdogo wangu Julius, mbona wasema uongo kuwa nyoka huyu ni mfu kumbe mzima!! Yaani nimebonyeza nikawa nafuatilia na ghafla amefufuka anataka kuniparamia. Nimeogopa na kuruka, hapa nilipo afya yangu imeathirika. Naona wewe hutaki niishi kuja kumuona Rais wa TANO wa Jamhuri yangu ya Muungano wa Tanzania. Hapoa nilipo napepewa na mwanangu wa mwisho niko hoi, acha kuweka mitego kama hii, wana JF wengine umri wetu umepanda, utaja kutuua bure!!!
kumbe shem kuna vitu unaogopaaa eeh!!
sasa kule tunapotaka kwenda vekesheni naskia hao ni wengi, itakuwaje???
Pole sana dadangu. Mi mwenyewe nimeshtuka almanusura nipatwe na heart attack maana nilidhani hilo lijoka linataka kunishambulia
Kule kuna mamba na viboko. wale hawatishi sana kama hili lijoka. Mwenzio nilidhani litanitokea kwenye monitor yangu....