World's biggest snake found dead

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,206
113,487
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=-x6VhNCKw5Q"]YouTube- WORLD LARGEST SNAKE FOUND DEAD![/ame]
 
Lol....hata mimi mwenyewe hivyo hivyo aisee....yaani nimeruka hapa kaa mtoto mdogo vile
Kiongozi unaogopa nyoka? Mbona naambiwa kule kwenu kucheza na nyoka ni sehemu ya utamaduni wenu?
 
Hapo kwenye red sifahamu maana yake teh teh teh

Lakini kijasho chembamba chanitoka.

Kila mwezi si mnafanya unajimu nyie? Labda kama mambo yameharibika. Nway, nashukuru hujanielewa.
Kijasho gani tena yailahi toba?
Ngoja niwahi gym.
 
Lol....hata mimi mwenyewe hivyo hivyo aisee....yaani nimeruka hapa kaa mtoto mdogo vile
Pole Kaka Julius, kwani hukuangalia kabla ya kuweka hiyo video maana kuna waoga humu kama sisi wasije wakafanya damage kubwa na PC zao.
 
Kila mwezi si mnafanya unajimu nyie? Labda kama mambo yameharibika. Nway, nashukuru hujanielewa.
Kijasho gani tena yailahi toba?
Ngoja niwahi gym.
Ha ha ha ha, si unaona sasa nimeogopa mpaka........ dah ngoja nikacheki.
 
Mdogo wangu Julius, mbona wasema uongo kuwa nyoka huyu ni mfu kumbe mzima!! Yaani nimebonyeza nikawa nafuatilia na ghafla amefufuka anataka kuniparamia. Nimeogopa na kuruka, hapa nilipo afya yangu imeathirika. Naona wewe hutaki niishi kuja kumuona Rais wa TANO wa Jamhuri yangu ya Muungano wa Tanzania. Hapoa nilipo napepewa na mwanangu wa mwisho niko hoi, acha kuweka mitego kama hii, wana JF wengine umri wetu umepanda, utaja kutuua bure!!!
 
Lol....hata mimi mwenyewe hivyo hivyo aisee....yaani nimeruka hapa kaa mtoto mdogo vile

kumbe shem kuna vitu unaogopaaa eeh!!
sasa kule tunapotaka kwenda vekesheni naskia hao ni wengi, itakuwaje???
 
Mdogo wangu Julius, mbona wasema uongo kuwa nyoka huyu ni mfu kumbe mzima!! Yaani nimebonyeza nikawa nafuatilia na ghafla amefufuka anataka kuniparamia. Nimeogopa na kuruka, hapa nilipo afya yangu imeathirika. Naona wewe hutaki niishi kuja kumuona Rais wa TANO wa Jamhuri yangu ya Muungano wa Tanzania. Hapoa nilipo napepewa na mwanangu wa mwisho niko hoi, acha kuweka mitego kama hii, wana JF wengine umri wetu umepanda, utaja kutuua bure!!!

Pole sana dadangu. Mi mwenyewe nimeshtuka almanusura nipatwe na heart attack maana nilidhani hilo lijoka linataka kunishambulia
 
kumbe shem kuna vitu unaogopaaa eeh!!
sasa kule tunapotaka kwenda vekesheni naskia hao ni wengi, itakuwaje???

Kule kuna mamba na viboko. wale hawatishi sana kama hili lijoka. Mwenzio nilidhani litanitokea kwenye monitor yangu....
 
Pole sana dadangu. Mi mwenyewe nimeshtuka almanusura nipatwe na heart attack maana nilidhani hilo lijoka linataka kunishambulia

Asante mdogo wangu, watoto wamenipatia capichino nashushia kwa juice ya ubuyu/ukwaju ili nitulize mapigo ya moyo.Nawe pole sana kwa yaliyokupata. Hapa wajomba zako bado wananicheka nilivyoathirika, yataka moyo!!!
 
Mama Mdogo huku unapepewa lakini bado umo JF, mhhhhh....

Unanikumbusha zile story za secondary, mtu kabeba uji kwenye sahani ya bati, anaanguka kama urefu wa mita moja na nusu, akifika chini nyie wote mnawasiwasi kama kaumia, cha kushangaza mnakuja kumuoja jamaa ananyenyuka na sahani yake ya uji, hajamwaga hata tone..
Watu wote weweeeeee, kasevuuuuuuu NYUKA......
 
Sikonge, we acha tu!!! Asante kwa kuonyesha kuwa unajali. Mshituko wa moyo unazidi kutulia, na hapa JF katu si log off mpaka lunch time!! Leo ni sikukuu ya watu kujimwaga na kubunga bongo na wana JF wenzangu!!
 
Kule kuna mamba na viboko. wale hawatishi sana kama hili lijoka. Mwenzio nilidhani litanitokea kwenye monitor yangu....

shemeji mie sijabonyeza kitufe cha play baada ya kuona comments mpaka hata wewe mwenyewe umeogopa
staki kuota usiku mie lol!!!
sasa viboko na mamba si hatari pia we shem unafanya mchezo.......afu sijui kwa nini unataka vekeshi kule, mbona kama kunatisha???
 
@ semeji Sikonge wee ni msanii Lol!!! hahaaaaaa!!! I was tryin to imagine the incidence.
 
Back
Top Bottom