World Famous Dictators

Mobutu

Mobutu-Sese-Seko1.jpg


Huyu aliwahi kunyonga mawaziri wake watatu mbele ya hadhara ya watu 50,000, kati ya walionyongwa alikuwamo waziri wake mkuu Kimba
 
Wengine wamefanya mengi mazuri kwa nchi zao na huu ndiyo uongozi unaotakiwa subsaharan africa,siyo copy &paste ya western democracy.Ila awe mzalendo,apende nchi yake,apende maendeleo ya watu wake.
 
Mobutu

Mobutu-Sese-Seko1.jpg


Huyu aliwahi kunyonga mawaziri wake watatu mbele ya hadhara ya watu 50,000, kati ya walionyongwa alikuwamo waziri wake mkuu Kimba


Mobutu seseeko nasikua mpka bafuni kwake tap zilikuwa gold tupu
 
Hakuna anyeweza kuibaka siasa ya Tanzania milele. We all love our country na tunaumia sana kwa wenzetu waliokufa Arusha.

 
Kingunge+N+M+(1).jpg


nasikia ndiye mwenye hati miliki ya chama chetu na ndiye 'selo tepu' ya wote wanaojifanya kutetea maslahi ya taifa badala ya yale ya chama. hana dini wala mungu- yeye mungu wake ni chama chetu!
 
Dawa Yao Hii Hapa!

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom