palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
hahaha pele na blatter walishasimama paletulia kijana...
hahaha pele na blatter walishasimama paletulia kijana...
Hizo team ulizotaja,wala sikuwepo huko kabisa,unamuona Shaqiri lakini?
Wajomba toeni updates basi wengine muhongo tayari kafanya yake!
namuona lakini wanatofautigani kama wanapoteza nafasi ya wazi kama ulivyoona?
kipa na mfungaji anampasia kipa badala ya nyavu!!!!!!!!! Ngoja mess apate nafasi kama hiyo namaanisha quality.
Bye bye my Africa, till the next tornament in 2018.
Hamjambo wakuu wana wedi kapu 2014? Ndugu yenu nawasalimia tu, sina mengi ila mnisaidie updates.
dk ya 39 , 0-0
mashambulizi ya kushitukiza
waswiswi wamekaza buti na vijibuti vya hapa na pale
mess na di maria wanapiga chenga nyingi badala ya magoli
F - football
I - is not
F - for
A - africans:sly:
0-0 bado lkn Uswis wamepoteza nafasi 2 za wazi ambazo hata Bocco wetu wa Azam angefunga
mbona kapiga ka shuti kadogo hivyoooooo
hata mi nadaka lol
tuko poa Skype updates utazipata tu
Wajomba toeni updates basi wengine muhongo tayari kafanya yake!
Hamjambo wakuu wana wedi kapu 2014? Ndugu yenu nawasalimia tu, sina mengi ila mnisaidie updates.
hahaha malafyale eti hata bocco angefunga hizo chance inabidi kuzitumia hasa ....
huyu professor si alisema umeme hautakatika kipindi cha wedi kapu