mkuu una misamiati migumu!
DMRC anafanya nn....ndo mana ana jina km initial za kampuni!
Ndugu yaku karibu. pole kwa kukawia
shukurani ziwafikie popote mlipo huko brazuu.
Hahaa basi tunaweza uchavushaji peke
Mkuu sidhani kama akina Rojos watafanya tena makosa kama haya mawili waliyo fanya!Uswis sasa walistahili wawe 2 bila lkn hii 0-0 itakuwa over turned na Messi atapata nafasi moja tu ata capitalize!
pole ni letu sote hilo.ahsante sana nimeshakaribia ila leo mtaani kwetu tunaexperience maana halisi ya bara la giza kwa hiyo nitakuwa karibu nanyi humu jf ktk kupata dondoo za mchezo.
pole ni letu sote hilo.
0-0 bado lkn Uswis wamepoteza nafasi 2 za wazi ambazo hata Bocco wetu wa Azam angefunga
Argentina wamekuja na kasi ya ajabu.....