World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

everlenk , mic you, kindly upo side gani leo?

Mic u too my dear, mie sina timu leo ila naapreciate juu na chini,I mean watoto wa Obama na Kina Messi,ila nipo bado on the road updates zenu ni muhimu.
 
Last edited by a moderator:
Argentina ile ya kina batistuta, requelmi huku unakutana na teamCaptain Ortega,,ilikua hatari tupu hawa wa sasa hivi wanarukaruka


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Hawakufanya lolote la maana hao unaowataja,hata qualification tu kwenda WC walikuwa wanaenda kama mshindi wa 5 wakitegemea mtoano na oceanic!
Argentina bora kabisa ni ile ya 1978 iliyotwaa kombe la dunia kwao ikiongozwa na Daniel Pasarera,Mario Kempes na Den Cabesano!Netherland alikaa 4-2 fainali
 
So far hakuna gem yoyote kwenye hii round 16 ambayo ilikuwa nyepesi kwa timu iliyoshinda.
 
Dk 90 zitakupoteza uelekeo wala hutaamin kitakacho tokea.

ulijiamini na Nigeria ikawa balaa...........

ukajiamini na Algeria ikawa balaa.........

uwezo wa mmoja mmoja wa waagentina na kitim ni zaidi ya team work ya akina shakhiri............hili liweke

mkumbukumbu. mwisho wa mechi fanya marejeo/reference.
Hizo team ulizotaja,wala sikuwepo huko kabisa,unamuona Shaqiri lakini?
 
Kuacha Juan Sebastian Veroni kuna mchezaji mwingine mweusi aliyewahi kuichezea timu ya taifa ya Argentina?
 
DMRC anafanya nn....ndo mana ana jina km initial za kampuni!
 
Mic u too my dear, mie sina timu leo ila naapreciate juu na chini,I mean watoto wa Obama na Kina Messi,ila nipo bado on the road updates zenu ni muhimu.


dk ya 39 , 0-0

mashambulizi ya kushitukiza

waswiswi wamekaza buti na vijibuti vya hapa na pale

mess na di maria wanapiga chenga nyingi badala ya magoli
 
Back
Top Bottom