Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,106
- 136,787
Dawa chungu yuko wapi? Alichonga domo sana huyu jana
Nipo kama sipo vile
hahahaha!!!...alisema hatoaga akisepa huyo.
mh!!moyo wangu
nini tena?
Mkuu Ningependa sana iwe hivyo lakini Brazil watashinda, Hakika ningepnda Chile ashinde lakini Mh, Ngimu mwana
Alooo unaogopa nini tena???...Hii sura inatisha?...:biggrin1:
![]()