Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Hawa Chile mimi naona ni kama wataibishwa hapa na kuseti rekodi ya magoli...Damn!!!!!
Brazil Vs Netherlands patamu hapo..nitashangilia baada ya dk 90 mechii hii ijayo!..
mh!!dk ya ngapi vile?hata sioni hii screen
watu leo wamelala???siwaoni umu hahahahaha!!
na bado subirini ya ghana sasa