World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

ivi brazil nchi nzima leo hawakufanya kazi?
mitaa imefungwa for big screen?hawa watu kweli uzalendo
 
Brazil Vs Netherlands patamu hapo..nitashangilia baada ya dk 90 mechii hii ijayo!..

Hapa kazi unayo najua una wakati mgumu kuchagua uegemee bega lipi lol! bora ushangilie baada ya dkk 90/120 au miguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu lakini ukitaka kuchagua kabla ya mechi haijaanza basi ukichagua Brazil wala hutakosea labda waamuzi wafanye vitu vyao tena.
 
c'mon CHILE , c'mon SANCHEZ. in CHILE we trust. (N:B mambo yakienda vibaya nitalogi auti bila kuaga)

Klorokwin unakumbuka post yangu niliyokwambia u must be dreaming ?
sasa yamedhihirika ...:biggrin1: hahahahah wera weraaaaaaaaaaaaaa Brazil
 
asubuhi yangu imebarikiwa kila ninapoitazama hii picha
b009aaa4f33f8fb464d5c3636ddcc23c-getty-fbl-wc2010-match54-bra-chi.jpg
:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
2010 FIFA World Champions is Brazil!!

Jamani Brazil mi nawapenda, huwezi amini my wife wangu sijui alipandwa na mashetani gani? Eti dakika kadhaa kabla ya gemu ya Brasil vs Chile kuanza akataka nimpe haki yake ya ndoa. Nikamwambia asubiri baadae, akadai eti ooh anajisikia hamu....harafu eti hawezi kusubiri kwani anaamini Brazil ikifungwa sitoweza kumpa.

Nilimkata jicho na kumpiga biti kali kuwa kama hawezi kuangalia mpira tena akiwa kwenye sofa lingine tofauti na nililokaa basi akalale!!

Yaliyofuata baada ya mechi kuisha na sisi wa Brazil kushinda bao tatu.............nikaamia kwenye gemu nyingine nikiwa mwenye furaha na bashasha maridhawa...!!

mmmhh Brazil!!
 
mechi leo spain vs portugal hapo green point stadium ndani ya cape town(mother city/kaapstad/ekapa)saa 3 na nusu usiku kwa saa za afrika mashariki refa ni Hector Baldassi toka Argentina na vikosi vyote
Spain
Iker Casillas,Sergio Ramos,Gerard Pique,Carles Puyol,Joan Capdevilla,Javier Martinez,Sergio Busquets,Andres Iniesta,Xavi Hernandez,David Villa,Fernando Torres
Porutgal
Eduardo,Paulo Ferreira,Bruno Alves,Ricardo Carvalho,Fabio Coentrao,Raul Meireles,Tiago Mendez,Pepe,Cristiano Ronaldo,Liedson,Simao Sabrosa
 
spain vs portugal big mechi itayotoa bingwa hiyo,najua wengi ni brazil na argentina humu ndani,leo ndani ya green point/cape town stadium jijini cape town(mother city/kaapstad/ekapa) saa 3 na nusu kwa saa za afrika mashariki,spain kikosi ni casillas,ramos,pique,capdevilla,puyol,martinez,busquets,iniesta,xavi,torres,villa
portugal
eduardo,alves,ferreira,carvalho,pepe,concetrao,mereilles,tiago mendez,,liedson,ronaldo,simao
refa ni hector baldassi toka argentina.
viva manolo el del bombo,jose maria gutierez.
 
_48208325_japanfans_reuters.jpg


Parguay na Japan wanapiga penalty tano tano:

Paraguay watia cha kwanza.
 
Paraguay wamaliza mchezo!!!!..Wameingia robo fainali!!!

5-4 matokeo ya penalties.

_48212071_cardozopen_afp.jpg
 
penalty shoot-out :
E. Barreto
goal.gif
[1 - 1]Y. Endo
goal.gif

L. Barrios
goal.gif
[2 - 2]M. Hasebe
goal.gif

C. Riveros
goal.gif
[3 - 2]Y. Komano
nogoal.gif

N.H. Valdez
goal.gif
[4 - 3]K. Honda
goal.gif

O. Cardozo
goal.gif
[5 - 3]
 
Back
Top Bottom