Haya uanze kujiandaa kulog off kimya kimya..
mbona sioni cha kutisha hapa[from brazil]...........
jipe moyo utayashinda..True lakini,game halijachanganya bado!!
naona wachezaji wa BRA-SIL wanashindana DIVING............DUH kabla sijamaliza wamefunga goli la kiingereza aibuuu.........
klor vipi umeshasign out nini?