World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Yaani nakula bata huku mtaani na kwa maana hiyo nitayakosa makeke ya mess aka messi
 
Wife Mshabiki wa Ujerumani leo Amefurahi sana na Unyumba leo ni wa Kujisevia tu LoL!
 
Dekshia saluti za kina Mexico wakiimba wimbo wa Taifa! lakini hawafui dafu kwa Jae Tang Se wa North Korea au Dempsey jana na uchozi!
 
Shem hana mdogo wake? maana najua atakuwa amesababisha kila mtu wa upande wake awe ujerumani naweza saidia hilo LOL

Ha ha ha wote wamefurahi kwa Sababu ya Dada yao lakini ni Dada yao Ndiye nina Uhakika atahitimisha Furaha yake Usiku LoL
 
Argentina wanategemewa kushinda katika mechi hii, lakini wasipoangalia wanaweza kabisa kuadhiriwa, itakuwa a big upset.
 
Bora hawa wapiga kelele wametoka wangetusumbua sana kwenye luninga zao kama wangeshinda mechi hii. Warudi wakamsaidie Godon Brown kuarudishwe madarakani
 
Mexico hawana Messi mkuu!
Nadhani ulikuwa na maana ya Argentina.

Hali ilivyoanza, nina wasiwasi kuwa Argentina wanaweza jikuta nao wananyolewa kwa chupa kama watani zao waingereza; ikitokea hivyo, itabidi wakakutane huko Falklands kuweka mambo yao sawa.
 
Back
Top Bottom