Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
Hawa ndo wameiangusha England kwenye WC hii,ha ha..utani
Avatar yako utata! ila tukiacha ushabiki wajerumani wazuri, zingekuwa 5-1 hadi sasa hivi!
Hawa ndo wameiangusha England kwenye WC hii,ha ha..utani
I salute you kwa utabiri,bado nani tena kuongeza goli la ujerumani..Shwaz(siwezi kumalizia hili jina,spelling tatizo) ha ha..I fell Podolski,Klose safi ila kala chumvi sana naona!!..
sijui matukio mangapi wanataka ku-prove replay inahitajika.i hope watakubali video technology baada hili tukio kutokea leo huku dunia nzima ikishuhudia.Wanaharibu kabisa hawa jamaa. Ndio maana nawazimia sana NFL na NBA....kanuni yao kuu ni mchezo kuchezwa na kuchezeshwa kwa haki. Dunia nzima imeona kitu kimeingia halafu refa na msaidizi wake wanalikataa....jamani this should be an outrage kwa wapenda haki wote ulimwenguni.
Avatar yako utata! ila tukiacha ushabiki wajerumani wazuri, zingekuwa 5-1 hadi sasa hivi!
Wacha kijiba cha roho wewe, utakufa unatembea..ala
Siwapendi england
but wakati umefika wa kutumia tv uwanjani.......
aaahhh mkuu... cole si anakimbia-kimbia tu!!! umesahau last game aiseetatizo ndio liko hapo kati mkuu hamna creativity kabisa,joe cole anafaa sana sema ndio hivyo kocha ana plan zake.
utabiri umesimamishwa kwa sababu zisizoweza kuepukika hehehehe tunamshukuru sana sepu blata kwa kukataa hii teknolojia ya replay.
Allan Shearer anasema eti England wanaenda nje ya mashindano sababu ya goli kukataliwa! conspiracies hizi, wamezidiwa jamani.....!
sijui matukio mangapi wanataka ku-prove replay inahitajika.i hope watakubali video technology baada hili tukio kutokea leo huku dunia nzima ikishuhudia.
tunamshukuru sana sepu blata kwa kukataa hii teknolojia ya replay.
hapana mkuu,bila haki kutendeka mpira haunogi unakuwa kama mechi za mchangani.
si ushakipiga mechi za mchangani mkuu?
Well,hata mie kweli nimeudhika sana japo sipo upande wa Eng..lile ni goli la wazi kabisa,halafu bosi wa FIFA yupo uwanjani afanye mabadiliko..
hapana mkuu,bila haki kutendeka mpira haunogi unakuwa kama mechi za mchangani.
si ushakipiga mechi za mchangani mkuu?