World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

This is humiliations hahahahahahahahhhhh ! England walikuwa wanajua Mjerumani leo mtelemko! hahahahah
 
Haya tena naona hii shughuli naona ndiyo imeshakwisha, sioni uwezekano wa kusawazisha bali kuna uwezekano mkubwa wa kupigwa bao zaidi.
 
Angalia hata lugha yao ya mwili...yaani inaonesha tayari wameshakubali matokeo kuwa watashindwa and there is nothing they can do about it. This is the worst England squad I have ever seen.
 
This is humiliations hahahahahahahahhhhh ! England walikuwa wanajua Mjerumani leo mtelemko! hahahahah

beki mdebwedo ikiongozwa na JT ha ha ha ha

ebu msaidie capello kwa mawazo mkuu wasije wakakasirika wakawafungia wageni kucheza ligi yao bure lool.
 
Hivi nyie bado mnaangalia mpira wa England hawa walipata bahati ya kuendelea kwenye group lao la vibonde. Ngoja wasukwe sasa kelele ziishe. Vikongwe wenyewe akina Lamps na wakomba unga akina Terry? Sijui wamebugia unga kiasi gani leo maana walikuwa wanadai wake zao waje washuhudie huu mpambano.

Wengi wao walitua jana. Wamebahatisha kamoja. Na hako walikodhulumiwa watalilia hadi kiama
 
Oh! My GOD! We need video technology in Football...that was a clear goal!
 
Refa kawanyima Emgland goli....kitu kiliingia kile....refa anadinywa huyu.....na huyu Sepp Blatter kukataa instant replay ni mpumbavu kwa maoni yangu
 
Back
Top Bottom