World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Yeah exactly...kuanzia goli la Henry kwenye qualifiers....magoli ya Marekani kukataliwa...Kaka kupewa kadi nyekundu...yaani hii WC controversial calls nyingi mno ambazo zingeweza kuondolewa na instant replay. It's just not fair

You're on point NN, thank you!
 
Waingereza sasa wanalalamika kuhusu kukoekana kwa "goal techology" kwenye mashindano makubwa kama WC lakini ingekuwa imepigwa golini kwao wangeongea mengine hapa hata wasingekubali hiyo ya teknolojia ya magoli. Though FIFA hawajakubali hilo goli lakini Waingereza wanachukua kama ni kigez cha kuzidi kulalamika kama watatolewa manake TV zao kama BBC zinarejea hilo goli utadhani kama ile France na Ireland.

Na wana hoja imara kabisa inayosimama yenyewe kwa ubora wake. Lile ni goli halali kabisa na hakuna anayebisha. Kama yupo ajitokeze hapa
 
Mechi hii inakuwa kama vita ya Pili ya Dunia kwa waingereza inawauma sana sana ...wa Scottish wao hawataki kabisa kushaingilia hawa jamaa..
 
Blame it on Barry, why did he hesitate to shoot the ball, break and 3rd goal is in!
 
Hahahahahahahahah bado wanadai goli lililokataliwa limesababisha haya 4-1
 
wowowowowoooooooooooooooo nne moja

yesu kristu marealle
 
OMG poor england 4-2 on my score board,please dont blame on foreigner players in ur league we have nothing to do with it lol.
 
Back
Top Bottom