klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
HEHEHEHEHHEEH ile tsunami ya magoli imeanza sasa. kuna dalili ya NORTH KOREA kupata swahiba wa mvua ya magoli
goli linaonekana kabisa mambo ya counter attack.3-2 kwenye score board yangu
Na wana hoja imara kabisa inayosimama yenyewe kwa ubora wake. Lile ni goli halali kabisa na hakuna anayebisha. Kama yupo ajitokeze hapa
Basi tena ..mnazi umeingia mjusi.
mkuu nilazma akwepeshe maana ametoka saluni kusuka mazeeJames inaonekana kabisa alikuwa anakwepesha uso.
This is a shame to England's team. :angry:. Bye bye Capello!
mkuu nilazma akwepeshe maana ametoka saluni kusuka mazee
urembo na mpira mbalimbali