Oh! My GOD! We need video technology in Football...that was a clear goal!
Wacha kijiba cha roho wewe, utakufa unatembea..alaSafi sana Germany....Chapa hao England wakwende zao huko
Haya naona unangoja mshindi umfagilie lol!. Mimi leo niko kwa Mama lakini naona tayari tuko nyuma :angry:, sasa sijui kama tutasawazisha au kuongezwa lingine
kusema ukweli inatia uchungu sana kunyimwa goli dhahiri kama lileRefa kawanyima Emgland goli....kitu kiliingia kile....refa anadinywa huyu.....na huyu Sepp Blatter kukataa instant replay ni mpumbavu kwa maoni yangu
Na utabiri umekamilika , kinachofatia ni maangamizi tu sasa hehehehe leo raha kweli aisee
I am so sorry for Terry, Ashley and Lampard! kuchezea hii timu ya England
kusema ukweli inatia uchungu sana kunyimwa goli dhahiri kama lile
i hope rooney anajivunza kutoka kwa waingereza wenzake maana naona anajaza namba tu
upson and lampard wawe mastriker
I am not sure what Milner is doing on the field, bring in Joe Cole!
england mie siwaonei huruma .............wangelikuwa wamejitahidi group stage wangecheza na Ghana jana wakaingia robo fainali kwa pozi......
balaa la kukutana na mjerumani wamelitafuta kwa uzembe wao wenyewe.........
FIFA wanaharibu mpira sana kwenye hili swala la kukataa replay.wameniaribia raha ya kushangilia ujerumani.hainogi kuona timu imekataliwa goli la wazi kabisa.