BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Mimi nilidhani wewe utakuwa upande wangu....kumbe wapi....
Najua leo ni mtoano ndo mana nashabikia mshindi,umenisoma eeh!!..ha ha
Mimi nilidhani wewe utakuwa upande wangu....kumbe wapi....
Tuliza boli hilo, wasiwasi ondoa, hao jamaa wanacheza mpira wa nguvukazi, wanajituma na huwa hawachanganyikiwi, hawana stress, manake kwao huko ni kitu cha kawaida. Wana nguvu~wala Pizza hao, sio watu wa Fufu.nina wasiwasi na waamerika sijui itakuwaje
Najua leo ni mtoano ndo mana nashabikia mshindi,umenisoma eeh!!..ha ha
Mi leo na Ghana yangu wapooooooole....Presha inapanda inashuka......Hao US mhhhhhhhhhhhhhh
Key player of the game is Tim Howard, yee ndiye atakayetoa tabasamu au kilio kwa washabiki wa Ghana na USA!
Who are you rooting for?
The Pilates lady, she had some flexible mooves during the paid program before the soccer program :dance::biggrin1:
Pole manake tayari ishakula kwako, kwi kwi kwi!........Mimi na Africa leo , go go go Ghanaaaaaaaaa!!
Kule kwetu hilo linaitwa "Ndulu".Hili la Waghana liko tofauti na Vuvuzela sijui linaitwa nini kule kwao.
in GHANA we trust. :horn::horn::horn::horn: