Ghana hamna kiwango..wanabahatisha tu.
Ghana hamna kiwango..wanabahatisha tu.
...........Hawa Ghana wamezubaa sana ingebidi kufunga hata 2 katika kipindi hichi cha kwanza, USA hapo wakija kipindi cha pili mhhhhhhhh sijui kama watakubali kushindwa.Hata hivyo Ghana tupo pamoja mshinde hili game leo.
US wakirudisha tu najua game imeisha, ntahamia zangu kulee kwene sketi fupi(Wimbledon). Hapa Ghana inabembea kwene uzi.Mkuu unangalia mechi ipi? Usije kuta unafurahia Basketball
Sio wamerelax mzee, hawana mbinu zaidi ya hapo.wameamua ku-relax sana na ita wa cost wakifanya mchezo.
Pole Mkuu, lkn usikate tamaa, muda bado upoKwa kweli Nipo upande wa USA...
Sio wamerelax mzee, hawana mbinu zaidi ya hapo.
Ngojea kwanza, unabet nani anashinda?leo kichapo tu...tu-bet $50 mazee..........