World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Jonathan ni uchochoro, hili ni kosa la tatu anafanya leo hii na mawili yaliyotangulia amshukuru Kingson!
 
Kwa wale ambao hawakushuhudia bao la Ghana....

 
Last edited by a moderator:
Huyu Jonathan anachezea timu gani? If I was a coach nishamtoa nje, ana kigugumizi, anasitasita kufanya uamuzi na ku-trap mpira na makosa yake yatawafanya watolewe kijinga! .........There goes the stupid foul and now penalty!
 
aisee! I said it USA wanacheza kipindi cha pili, poor Africa
 
Miafrika bana..inawapa ujiko US wa bure..Ngoja nitanbae zangu kwene sketi.
 
Ndiyo matatizo ya kutaka kudefend kagoli kamoja na kutegemea kupata ushindi.
 
Back
Top Bottom