World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Kwa hiyo team ya Tanzania (Taifa Star) ni bora kuliko North Korea?
 
yaani Ronaldo ameichukulia hii mechi kama ni FUN ZONE anawapeleka jamaa mbio halafu anacheka. hehehehehe 7-0 , hawa waKOREA soka hawaliwezi bana , bora waje wajiunge JF tuendeleze udaku wa CCM pamoja.
 
Nimekusoma kamanda.......ila hii ya leo kali aisee

hii kali,hivi kipigo kikubwa ni ngapi vile??nakumbuka ZAIRE walifungwa 9 MOBUTU AKAWATANDIKA VIBOKO...sijui kweli au ndio story za zamani....
 
Duh awa jamaa kweli Kim Jong Il atawasamehe kweli? si unajua mambo ya madikteta tena!
 
hii kali,hivi kipigo kikubwa ni ngapi vile??nakumbuka ZAIRE walifungwa 9 MOBUTU AKAWATANDIKA VIBOKO...sijui kweli au ndio story za zamani....

Na Saudi Arabia nao wana rekodi ya kuchapwa na Germany magoli 8 bila WC ya mwaka 2002
 
So now, what is going to happen to Ivory C ????? Do they able to beat N.K more than that ?? dispite Portugal with Brazil winner will be who ? and for which result ???? Igweeeeee !!! Africa Unite !!!
 
Back
Top Bottom