Matokeo yakiisha hivi, nafasi ya CIV kuingia 2nd round inakuwa finyu sana. Maana Portugal mechi yake ya mwisho anacheza na Brazil (ambaye ameshafuzu). Sana sana wataishia sare, ambayo itampa Portugal point tano (CIV hawawezi kufikia hizo point) Labda tuombe Brazil amfunge Portugal, alafu CIV nao washinde mechi yao ya mwisho kwa magoli mengi.