Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Leo kuna hataru mtu akapigwa 6 kama sio 7
Du naona ureno wanajua itakuwa ngumu wao kumfunga Brazil, so wanafidia kabisa kabisa, ili ikija ishu ya goal diff wawe on top!!
Wareno wameshaharibu njia ya Ivory coast
4-0 portugal...TIAGO.....3 goals in 7mins.......
Gosh it can't be serious....dakika ngapi hizi bao ngapi ooh naona dalili za mabao 6
La 5.......Liedson
Ni Ronaldo......ama Liedson?5-0 bila ronaldo kufunga,can u believe it??
wapi ndugu yangu! its 5-020mins gone.....game 50/50......