mkuu wa msafara naona umerudi endelea kutoa updates mi niko bongo usiku saa hizinina wasiwasi tunaweza kuona mvua ya magoli tena..................
heheheh!choka mbaya huyohuyu Torres anafuja leo bana
Sublime cross by Ramos from the right, it finds Torres completely unmarked at the back stick - but he heads down and wide
hapa naona liverpool hawana foward tena
ha ha ha ha!we mke wa raisi unadhani watafungwa hawa watengeneza chokoleti?naona kama span wataondoka na mbili bila hapa
heheheh!choka mbaya huyo
bora hata ungemuajiri kwenye hiyo mizungu inayozipigia makofi sredi zako
ha ha ha