World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

mko wapi wana TEMBO...mmefulia eeh......mmenywea...ha ha ha...hatimae TEMBO awa mbuzi

hivi mnakumbuka cartoon ya tom and jerry... hasa pale tom akishajua kimemuwakia?? huwa anameza funda kubwa sana la mate na kwikwi juuu, basi ndivyo nilivyojisikia baada ya bao la tatu!!!

nyhine acheni tu, ni kama unatafuna kitunguu kikiwa bado kikali.... chozi juuu kilio hakuna!!!
 
klorokwin sijui keshalala yarabi...au amekwenda uza ile TV yake?
 
Imeshafikia 160/100mmHg..daktari amesema nina stage 2 hypertension..leo wacha iniue kabisa,lakini vijisenti vyangu vyote naweka cote d'ivoire

huyu sijui ndio keshaaga ulimwengu....haya fufuka basi drogba kawatoa kimasomaso
 
I don't think Tembo kilaza is going to make a come back, teh teh teh !!! :mmph:
 
safi sana .... juzi walimtoa mnigeria na leo mrembo kaka... football is such a lovely game
 
hawa sasa wana haribu game na hizi playacting..........
 
Back
Top Bottom