Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,402
- 320
duh...naomba iwe kweli mwisho wa mchezo....si unaona wadau wote wamegoma kuingia jamvini.....
tuombe Mungu mkuu, kweli wadau wameamua kususa kabisaaa@! lakini leo ni raha tu
duh...naomba iwe kweli mwisho wa mchezo....si unaona wadau wote wamegoma kuingia jamvini.....
Mark VIVIAN FOEYule mchezaji wa cameroon aliefia uwanjani zamani aliitwa nani??
unamzungumzia Mark Vivian Foe siyo mkuuYule mchezaji wa cameroon aliefia uwanjani zamani aliitwa nani??
Yule mchezaji wa cameroon aliefia uwanjani zamani aliitwa nani??
uzalendo umenishinda,imebidi tu niangalie timu ya afrika ingawa najua mwisho ni HEADACHE....
hakika mkuu naona Mwalimu leo, katumia akiliasana, na dogo kadhibiti dimba kiutamu sanaNa pengo lake liliwacost game ya kwanza na Japan