World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

uzalendo umenishinda,imebidi tu niangalie timu ya afrika ingawa najua mwisho ni HEADACHE....
 
_48119947_cfans466_getty.jpg

Mwanzo mzuri kwa cameroon ila sijui hizi vuvuzela baadae midomo itajaa mate washindwe kupuliza?!!

_48119948_dfans_getty466.jpg


Wot a goal from ETOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Tunataka rahaaaaaaaaa wa africa tumechoka na mambo ya kuremba remba!! tupeni raha simba wa nyika!!
 
common sense prevail......ETO'O anacheza kama main striker leo na matokeo ndio haya......
 
Kikosi cha CMR leo ni chaushindi haswaaa vijana wana NJAA tupu dah chupu chupu haapa tupate la 2
 
common sense prevail......ETO'O anacheza kama main striker leo na matokeo ndio haya......


Upo sahihi kabisa mkuu, last time hakucheza kwenye hii position leo ndo tutamwona ETOO katika zile rangi zake za mchezo tulizozizoea Ulaya!! kuna good communication na combination pale mbele
 
Leo CMR wameanza kibiashara zaidi...am sipping a wine and enjoying the show...Kanyaga twendeee
 
Back
Top Bottom