M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
- Thread starter
- #21
hapa sasa tuko kwenye ukurasa mmoja, isipokuwa watangulizi wa Magufuli hawakuwahi kupigia chapuo watu kuzaana. ndiyo maana chini ya JK umasikini ulikuwa unapungua kuliko sasa!Yea ni kweli, kwangu mimi Magufuli (na watangulizi wake) amekosea hapo, huwezi kupunguza umaskini bila ya kudhibiti ongezeko la watu bila ya mpangilio, huo ukuaji wa uchumi hautakuwa na maana yoyote kama kila mwaname ana watoto 5.2 kwa wastani wakati kipato hakuna, ...