World Bank: Mwaka 2012 kulikuwa na Watanzania masikini milioni 12; hadi kufikia mwaka 2018 waliongezeka masikini milioni 2!

In addition the @WorldBank report finds alarming poverty vulnerability level in Tz. For every FOUR people who move out of poverty in 2018 THREE returned to poverty in 2019.

In Tanzania, between 2012 and 2018 (latest data available) 2 million more people were living in poverty per World Bank
2012: 12m in poverty
2018: 14m in poverty
Hebu tusaidiane: tunajivunia nini?

You have to put in balance between material developments vis a vis human developments.

eg, Individual Poverty vis a vis stiegler gorge.
 
Hizi ndo habari unapenda siyo?

Na hapo meno yote nje baada ya kuokoteleza vijihabari vyako huko uchochoroni.
Unaeza nitajia hao watu wanne na hao watatu kwa majina/familia?
Lastly; Who care!!
 
Haa haa! Huo unaitwa mwendo wa kisengelenyuma...kuelekea uchumi wa kati! Tanzania ya viwanda.

Everyday is Saturday.......................... :cool:
 
Hizi ndo habari unapenda siyo?

Na hapo meno yote nje baada ya kuokoteleza vijihabari vyako huko uchochoroni.
Unaeza nitajia hao watu wanne na hao watatu kwa majina/familia?
Lastly; Who care!!
😂😂😂😂 Kazi IPO.unataka utajiwe majina 😂😂😂anayo magufuli Kyle muulize
 
In addition the @WorldBank report finds alarming poverty vulnerability level in Tz. For every FOUR people who move out of poverty in 2018 THREE returned to poverty in 2019.

In Tanzania, between 2012 and 2018 (latest data available) 2 million more people were living in poverty per World Bank
2012: 12m in poverty
2018: 14m in poverty
Hebu tusaidiane: tunajivunia nini?
Sifa zote apewe Magufuli rais mzalendo
 
Hizi ndo habari unapenda siyo?

Na hapo meno yote nje baada ya kuokoteleza vijihabari vyako huko uchochoroni.
Unaeza nitajia hao watu wanne na hao watatu kwa majina/familia?
Lastly; Who care!!
Mkuu hivi ile habari ya Tanzania kuingia uchumi wa kati iliokotwa wapi? Nayo uliitemea povu la namna hii?
 
In addition the @WorldBank report finds alarming poverty vulnerability level in Tz. For every FOUR people who move out of poverty in 2018 THREE returned to poverty in 2019.

In Tanzania, between 2012 and 2018 (latest data available) 2 million more people were living in poverty per World Bank
2012: 12m in poverty
2018: 14m in poverty
Hebu tusaidiane: tunajivunia nini?
Jpm ajitafakari kama ana sifa za kuendelea kuonhoza nchi yetu
 
Huu si uzushi wa Mwalimu M-Mbabe, la hasha. Ni taarifa rasmi kutoka World Bank.

Awamu ya 4 ilipunguza idadi ya masikini kutoka milioni 13 mwaka 2007 na kufikia milioni 12 mwaka 2012.

Chini ya awamu ya 5, idadi ya masikini ili shoot kwa milioni 2 ndani ya miaka 3 tu ya uongozi wake. Tafsiri ni kwamba awamu ya 5 imekuwa ikizalisha Watanzania masikini badala ya kupunguza ambayo ni kinyume kabisa na trend ambayo awamu ya 4 ilikuwa inaenda nayo.

Kwa hiyo ni dhahiri kuwa kama nchi chini ya awamu hii ni kama tunatwanga maji kwenye kinu.

Watanzania tunapaswa kufanya maamuzi yenye tija October mwaka huu.

Tanzania - Mainland Poverty Assessment 2019 : Part 1 : Path to Poverty Reduction and Pro-Poor Growth
This report provides a comprehensive analysis of poverty and inequality in Tanzania and identifies some priority actions if poverty is to be reduced. The analysis is contained in two parts.

The first part is based on the results of the Household Budget Surveys (HBSs) for 2017-18, 2007, and 2011-12; several rounds of National Panel Surveys (NPSs); and Demographic Health Survey (DHS) data; it also combines spatial information from the population census and other sources with HBS data to (1) provide a rigorous analysis of the evolution, profile, and determinants of poverty and inequality; (2) explore movements in and out of poverty and their drivers; and (3) examine the distribution of poverty and living conditions across the country at a detailed geographic level.

The second part examines the pattern of structural transformation, firm profiles, job creation, and financial inclusion using the rebased GDP figures released in February 2019 plus data from the Statistical Business Register (SBR), Census of Industrial Production (CIP), national accounts, NPS, Integrated Labor Force Surveys (ILFS), and other sources. Executive summary can be found here 431111575939381087/executive-summary

View attachment 1503509

View attachment 1503630View attachment 1503631
Nimekusoma. Aise inahitajika tafakuri makini,
Landson Tz
 
Back
Top Bottom