Marekani: Watu Wanaoishi Kwenye Umaskini na Ufukara Waongezeka na Kufikia Milioni 41

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,046
49,730
Idadi ya mafukara kwenye Miji ya Marekani wameongezeka na kufikia watu Milioni 41 sawa na 13% ya watu wote wa Taifa Hilo ni maskini wa kutupwa.

Na hesabu hizo zinathibitisha mada ya mdau aliyesema Watanzania wengi walioko Marekani ni mafukara kiasi kwamba wanaona aibu kurudi Bongo maana watachekwa Kwa kuwa hawana kitu.

=============

The number of people living in poverty in the US grew by about 1.5 million to a total of almost 41 million between 2019 and 2022, bringing the rate of poverty to 12.6% nationwide, up from 12.3% in 2019, according to the Census Bureau's most recent American Community Survey.

The population living in poverty grew three times as fast in major metro suburbs as it did in major cities between 2019 and 2022, the Brookings Institution found in a new report. More than 60% of the growth in poverty across the country occurred in the suburbs.
A plurality of Americans call the country's increasingly diverse suburbs home. Nearly half of people in the US — 47% — live in suburbs, 21% live in major cities with over 500,000 residents, 18% live in small and medium-sized metro areas, and 14% live in rural areas.


Suburban communities in major metro areas in the South, West, and Midwest, including Washington, DC, Houston, San Francisco, Ogden, Utah, St. Louis, and Minneapolis-Saint Paul, saw some of the biggest jumps in poverty over the last few years, Brookings found. No suburban community in a major metro area saw its poor population decline between 2019 and 2022, but some saw an influx in new residents living above the poverty line, which brought their poverty rates down.

But suburbs still count among the wealthiest communities in the country. While the rate of poverty is rising faster in suburbs than in cities overall, cities still have a higher per capita poverty rate on average. In 2022, 9.6% of suburban dwellers lived in poverty, while 16.2% of residents of major cities were poor, Brookings noted.

The shift in the geography of poverty in the US is a result of a variety of factors, including rising housing costs in urban areas. More upwardly mobile and affluent people have moved into cities over the last two decades, helping bid up rents and home prices, which has fueled an affordability crisis in cities across the country.

Over the last few years, housing costs have shot up even more, pushing many lower-income people out into the suburbs. Suburban communities have also grown and attracted a more diverse population in recent years, and jobs — including low-wage employment — have increasingly moved outside urban cores.

The rise in suburban poverty poses a challenge for many suburban areas that don't have particularly robust mass transit systems, lack a strong network of non-profit groups assisting low-income folks, and don't have well-funded social services.

Source: Business Insider Africa

===============

My Take:
Badala ya umaskini kupungua huko Marekani unaongezeka. Aisee ukiwasikiza Machadema wakitoa mifano unaweza dhani Marekani na Ulaya ni watu wanaongelea kwenye Neema kumbe Nako Kuna njaa, umaskini na ufukara tena nafuu na Bongo.

Kwa hesabu hizo,Bongo sihami maana ni rahisi kuwa Tajiri Tanzania kuliko huko Marekani na Ulaya.

 
Idadi ya mafukara kwenye Miji ya Marekani wameongezeka na kufikia watu Milioni 41 sawa na 13% ya watu wote wa Taifa Hilo ni maskini wa kutupwa.

Na hesabu hizo zinathibitisha mada ya mdau aliyesema Watanzania wengi walioko Marekani ni mafukara kiasi kwamba wanaona aibu kurudi Bongo maana watachekwa Kwa kuwa hawana kitu.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1714995715590463908?t=OwLCEI1gnyhk3KnlA5tPlw&s=19

My Take
Badala ya umaskini kupungua huko Marekani unaongezeka.

Aisee ukiwasikiza Machadema wakitoa mifano unaweza dhani Marekani na Ulaya ni watu wanaongelea kwenye Neema kumbe Nako Kuna njaa, umaskini na ufukara tena wenye nafuu na Bongo.
Kwa hesabu hizo,Bongo sihami maana ni rahisi kuwa Tajiri Tanzania kuliko huko Marekani na Ulaya.

Umeandika ujinga uliopea viwango.Niishie kwa kuandika umugaya luhala.Mugaya hee.Ulimudobofu kangi!
 
Back
Top Bottom