Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,356
Wimbo wa Dolly Parton huu, unaohusu mazingira magumu ya kufanyia kazi huko Marekani. Ni zaidi ya wimbo, unazungumzia pia jinsi bepari anavyonufaika na jasho la common mwananchi.
Nataka munijaze upepo niandike jimakala refu kama kojo la asubuhi, kuhusu ushuhuda wa huu wimbo na unafuu (au ugumu) anaoupata mkaazi wa kawaida wa nchi za kibepari za magharibi.
Anybody?
Nataka munijaze upepo niandike jimakala refu kama kojo la asubuhi, kuhusu ushuhuda wa huu wimbo na unafuu (au ugumu) anaoupata mkaazi wa kawaida wa nchi za kibepari za magharibi.
Anybody?