Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
halafu watoto huwa wanafata akili za mama zaidi ( hiyo ni kitaalam).
nshaskiaga hii
halafu watoto huwa wanafata akili za mama zaidi ( hiyo ni kitaalam).
halafu watoto huwa wanafata akili za mama zaidi ( hiyo ni kitaalam).
IQ inapimwaje mpaka ukamnyooshea kidole huyu?
cc mke wangu mpenzi miss neddy. (sleep well my queen!)
Kalagabahoooo!!!!!
halafu watoto huwa wanafata akili za mama zaidi ( hiyo ni kitaalam).
anayo ya tomato tu.
Acha nikuweke sawa rafiki, mwanamke mwenye IQ hiyo inayoonekana ni kubwa, three things is involved, kwanza itamsaidia kupata mwanaume mwenye mambo mengi, kwa hiyo mwanamke huyo atatumika kama nyenzo ya kupanga mashambulizi ktk kupambana na maisha, fanya uchunguzi kwa hili..
Pili, mwanamke huyo atawezakuishi na familia yake considering all factors remain normal, nikimaanisha hazingui na kuwatangulia wanaume, hivyo wanaume watamuoa na kuishi na atakuwa mama bora kuleo watoto,
Tatu na mwisho Huyo tunaeona ana IQ atajikuta kwanza wanaume wanamkwepa, anakua na tabia za kunguru, yaani hafugiki, si ANA IQ?? tangu lini ukafuga paka nunda? wanawake wa aina hii wanaume tunagonga na kuteleza/kutambaa, hatukubali watunganganie, namara nyingi hawa hatuwadanganyi kuwa sijaoa, huyu unamwambia ukweli, ajue una mtu, ili asikugande maana ni sumu, ni wembe, ukikaa mbele yake anakuzoa, sisis wanaume wazoeefu wanawake kama hawa, najua wanasoma post hii, hatusemi neno, unakaa kimya yeye anabwabwajaaa, wwe unamkubalia tu, akitaka keshi unampa, nk unakwepa kelele, siku akikupa tunda mzee unakula, unapotea na unamkimbia kweli tena hurudii mara mbili wanawake wa aina hii, ndo maana wanaliwa na wanaume wengiii sana, wengi utawakuta ni manunga embe, nakujiliwaza.. izacck siku moja aliwaambia mwanamke ana stage 3 za ukuaji, pana umri anakuwa mdogo na havutii sana, ila anaweza akala undele wake, pili, middle , anakuwa mzuri kupindukia, na ni lazima kila mwanamke apite level hii, wengi wao hupoteza wakati/muda huu, kujidai maisha hayana mwisho, approx miaka 18-27, akigusa 27,28 anashituka na hapa wanaume tunakaa pembeni maana hata hapa alikuwa kama kiti cha daladala kila mtu kakikalia, atahangaikaaa wengine wanafanikiwa na wengine ndio basi tena unungaembe huchukua nafasi..wengi wao wangekuwa makini wangetulia umri wa 23...wakishafikisha 34...huko ndo baaasi tena.
nimesema hivi ili wajijue labda itasaidia waache, nimehangaika na mwanamke ktk umri huo na wkt huu ndo alikuwa mtam, lkn ukila jioni au siku ya pili unaona kabisa kitumbua kimeliwa na mtu mwingine, tundu unaona kabisa limekuwa size ambayo sijaiiacha, yaa ndio, sisi wanaue tunajua, na ndo mana nilipopata msicha mwinine niimwambia asiwe anavyoa v..u..uzi kwa sabb najua wanaume hawapendi kufyeka msitu wale matuna.. so ilikuwa mbinu yangu mndele wangu asiliwe.. nashauri wawe wapole watapata majamaa y kuwaoa hasa kama ana mshiko ahhaaaa wanaume tunapenda mshiko tutaoa, ukikuwa waliolewa wanahela na jamaa lipo kumendea hela,
pata kawimbo haka https://www.youtube.com/watch?v=A6pE2kcXLYU
Duh! this is one of the highest IQs (IGNORANCE QUOTIENT) have ever witnessed since i joined JF!
nina konfesheni hapa, ila umri hauruhusu kuanika mambo kadhaa, ila nimefarijika 🙂
mmmmmh! mkwe!
wewe mama Evz,guts za kuniquote umepata wapi...???
hapo kwenye blue record zako zinaonesha jinsi ulivyo na iq kubwa...(visanga vyote hivi at just the age of 21..what a drama queen!!)
vigodoro kuanza rasmi kesho. Hakuna kulala mpaka heshima ipatikane.
Started by Evz, 28th July 2014 21:28
kanipa likizo mpaka kombe la dunia liishe.
Started by Evz, 17th June 2014 17:31
Mambo yamekuwa mazito kwenye ndoa yangu
Started by Evz, 11th June 2014 16:32
Nina ujauzito, tatizo langu mguu wa kulia unaniuma sana
Started by Evz, 9th June 2014 23:10
wanaume wa type hii huwa wananikosha.
Started by Evz, 7th June 2014 16:31
nataka nimsaliti lakini naogopa
Started by Evz, 17th May 2014 15:57
Mume wangu ananifundisha kunywa pombe
Started by Evz, 16th May 2014 00:11
Mme wangu anatembea na rafiki yangu
Started by Evz, 15th May 2014 14:18
Niamini leo kuwa ndoa ni ndoano
Started by Evz, 16th May 2014 17:19
kuna mahali nimeuliza tunaipimaje?
Sikujibiwa.
ha ha..! Hakyanani hamna aliyebaki hapo. Na wanaume je??