huwezi eleweka.
I would have waited forever aisee. Unajua kukaa na mwanaume mwenye iq ndogo ni mzigo, bora uwe single ila ubake mwenye iq walau usizae watoto akili fupi hehehe
labda Kongosho ungeliza hivi... Higher IQ inacover maeneo gani?
I would have waited forever aisee. Unajua kukaa na mwanaume mwenye iq ndogo ni mzigo, bora uwe single ila ubake mwenye iq walau usizae watoto akili fupi hehehe
most men seem intimidated when they deal with smart women i have found
We jikoshe tu, hio 18 si u eweka baada ya kuchambwa na my baby!? Hahahaaaaa! Kubali tu unanikubali! Hutokufa au kubabuka! Hihihihihihhhhiiiiiiiii!ref to my post #18 ...you will find the answer to your question...
one thing for sure ...ningem''tag'' another dude usingeniuliza hili swali...
nidai zawadi
MY IQ HAS ALWAYS BEEN THE BIGGEST ALL MY LIFE! Si jf tu, hata ofisini wananijua MPIKA SUMU, na nikiikupikia sumu kazi lazima uache! Shule kwenyewe kwa fitna na propaganda sijambo! Basi tu bi mkubwa kanikataza kufanya SIASA lasivo hakuna ambae angeniweza kwa sumu!
Mama huwaga anawaambia wageni, be warry not to cross her path, she is not as dumb as she looks, matter of fact she is the most dangerous, akikupikia fitina humu ndani hutokaaa! Hahahaaaaa! Chokoza wooote, wanangu nimewazaa ili hio namba hapo ni namba tasa achana nayo kabisaaa! You are no match for her!
na tanzania kuna women with High IQ?
I would have waited forever aisee. Unajua kukaa na mwanaume mwenye iq ndogo ni mzigo, bora uwe single ila ubake mwenye iq walau usizae watoto akili fupi hehehe
Sasa dada yangu umenikuna ngoja niwape siri ambayo Wanawake nao hawaijuhi kuhusu Wanaume kamili wanaojielewa siyo wale nyege mkononi....
Ni kwamc wanaume wote makini ukiweka mapenzi pembeni wanaangalia zaidi IQ ya mwanamke na akishaigunduwa swala ndoa wala utamuuliza wewe mwanamke ni yeye mwenyewe anapropose kwa ukweli kabisa,
Tatizo kubwa naliona hasa la uchumba Sugu ni kwamba wanawake wengi warembo wana poor IQ na wanaume huwa wanakuwa kama spotlight tu na kuoshea tu, lakini ikifika issuue ya kuoa utashangaa mwanamke anayemuoa anakuwa siyo mzuri sana kivile kama huyu mrembo ambaye hakumpa heshima ya kuwa mke.
Si kwamba wanaume wanawaogopa wanawake warembo hapana ila wengi wao yale madraya ya salon yameshaharibu ubongo wa wanawake wengi.
ukitaka kuthibitisha hili wachunguze sana wanawake wanaonyoa vipara, wanaochana tu nywele zao asili na kufanya air cut kuna kitu utagunduwa.
kwa nini asieleweke...! Hivi women with higher IQ hapa bongo mfano ni kina nani...?
Ukiundekeza moyo utakupeleka shimonikutukia akili kwenye mapenzi ni wrong...
mapenzi ni matter of the hearts...
listen to your heart....not brain
Sasa dada yangu umenikuna ngoja niwape siri ambayo Wanawake nao hawaijuhi kuhusu Wanaume kamili wanaojielewa siyo wale nyege mkononi....
Ni kwamc wanaume wote makini ukiweka mapenzi pembeni wanaangalia zaidi IQ ya mwanamke na akishaigunduwa swala ndoa wala utamuuliza wewe mwanamke ni yeye mwenyewe anapropose kwa ukweli kabisa,
Tatizo kubwa naliona hasa la uchumba Sugu ni kwamba wanawake wengi warembo wana poor IQ na wanaume huwa wanakuwa kama spotlight tu na kuoshea tu, lakini ikifika issuue ya kuoa utashangaa mwanamke anayemuoa anakuwa siyo mzuri sana kivile kama huyu mrembo ambaye hakumpa heshima ya kuwa mke.
Si kwamba wanaume wanawaogopa wanawake warembo hapana ila wengi wao yale madraya ya salon yameshaharibu ubongo wa wanawake wengi.
ukitaka kuthibitisha hili wachunguze sana wanawake wanaonyoa vipara, wanaochana tu nywele zao asili na kufanya air cut kuna kitu utagunduwa.
hahaaaa matusi haya....ngoja waje
Yalaaa..... wivu mieShe is mine, nilichofanya ni kukupa challenge wewe kwamba kwa sababu hata wewe kuna misimamo yake baadhi hukubaliani naye so why usichukulie hiyo ndio poor IQ Yake?
Lara hatukukutana barabarani she mean a lot to me.
Na ni raha kweli ukibahatisha anaekuzidi akili, unakuwa unadeka tu!