mkuu mimi hata sijui ndo maana nikasema kama kigezo ni pesa basi wana akili sana hao watu for sure sasa sijui tunawajumuisha wote waliopata ki halali na waliofanya mishemishe mjini sijui hapo ndo inakuwajeMimi hapa ndio nimesema tena nashangaa ni kwa nini maprofesa wetu ambao wengi wana poor IQ hawajamtunuku PHD Bakhresa badala yake hizo PHD za heshima wanapewa watu walioshindwa kama Kikwete.
Je hivi IQ kwako ni nini hasa? unaijuwa vyema historia ya Bakhresa alikotoka? na ni standard seven Graduate tu?
hahahaaaaa...!!
ha ha ha, unataka ugomvi na watu, japo ni ukweli mtupu.
Kuna wanamme ukikaa nao mwaka mzima lazima upate kiharusi.
Bora kusubiri aisee
hahaha nadhani nilishaistukia hii siri siku mingi sana. ndio maana kuna mtu anamshangaa paw kwa kuwa na mwanamke mkorofi na asie mrembo (mweeh mie mrembo kiduchu bwana, snowhite njoo uthibitishe jamani). Au kuna mtu anashangaa why unakuwa unamzimikia wifi lara 1 na anavyoandika kinduli nduli.
Shida ni je, IQ ni death sentense? Manake unafanyaje kujiongeza? Manake jamani mtu mwenye IQ ndogo ni mzigo. Smallest thing anakuwa offended!
na tanzania kuna women with High IQ?
It takes a man with High IQ to recognize a lady with one.
Kalagabahoooo!!!!!Kwenye hii sred kuna kitu nimekigundua, nilikuwa sijawahi kujua kwa nini.
Kumbe wakati wa kuoa watu wanaangalia zaidi ya uzuri?
Kwenye hii sred kuna kitu nimekigundua, nilikuwa sijawahi kujua kwa nini.
Kumbe wakati wa kuoa watu wanaangalia zaidi ya uzuri?
Waafrika wote ni mild-mental retardation IQ range from 50-70 so piga ua wote ni mental retardation sema tunatofautiana vipoint
Kwenye hii sred kuna kitu nimekigundua, nilikuwa sijawahi kujua kwa nini.
Kumbe wakati wa kuoa watu wanaangalia zaidi ya uzuri?
Tupo mbona
wanawake wazuri wenye brain ndogo ni mizigo isiyobebeka
Kuibeba ni kiherehere chako tu.
I would have waited forever aisee. Unajua kukaa na mwanaume mwenye iq ndogo ni mzigo, bora uwe single ila ubake mwenye iq walau usizae watoto akili fupi hehehe
Kwenye hii sred kuna kitu nimekigundua, nilikuwa sijawahi kujua kwa nini.
Kumbe wakati wa kuoa watu wanaangalia zaidi ya uzuri?
wanaosokota dreads je? lolukitaka kuthibitisha hili wachunguze sana wanawake wanaonyoa vipara, wanaochana tu nywele zao asili na kufanya air cut kuna kitu utagunduwa.