Women with higher IQ's...

Women with higher IQ's...

Kuna mmoja kasema nyumba anayomiliki ni kipimo tosha. I think iq ya bakheresa si mchezo aiseee
Mimi hapa ndio nimesema tena nashangaa ni kwa nini maprofesa wetu ambao wengi wana poor IQ hawajamtunuku PHD Bakhresa badala yake hizo PHD za heshima wanapewa watu walioshindwa kama Kikwete.

Je hivi IQ kwako ni nini hasa? unaijuwa vyema historia ya Bakhresa alikotoka? na ni standard seven Graduate tu?
 
Kwa comment za watu hapa zimenifanya nianze kumchunguza Fatuma ndala ndefu wangu hapa kama ana iq ya Mwamvita au ya Wema.
 
a virgin ndio woman with high iq...hawa wengine waliopigwa free p kabla ya ndoa very low iq. i mean how cn u say mtu ana high iq if they cnt even value their body.

ha ha..! Hakyanani hamna aliyebaki hapo. Na wanaume je??
 
Ni ukweli mtupu. mahusiano mengi ili yaende lazima mwanamke awe tayari kukubali hata ujinga wa mwanaume ilimradi tu kumruhusu aonekane kidume. Mwanamke akionyesha uwezo wake tu inakuwa tishio na vita yake haibebeki.... Men especially African men are raised to believe all weakness are in a woman, most of them can not stand challenges from woman partner (suprisingly they can comfortably follow directives of woman boss at work!)
 
hahaha nadhani nilishaistukia hii siri siku mingi sana. ndio maana kuna mtu anamshangaa paw kwa kuwa na mwanamke mkorofi na asie mrembo (mweeh mie mrembo kiduchu bwana, snowhite njoo uthibitishe jamani). Au kuna mtu anashangaa why unakuwa unamzimikia wifi lara 1 na anavyoandika kinduli nduli.

Shida ni je, IQ ni death sentense? Manake unafanyaje kujiongeza? Manake jamani mtu mwenye IQ ndogo ni mzigo. Smallest thing anakuwa offended!
Sasa dada yangu umenikuna ngoja niwape siri ambayo Wanawake nao hawaijuhi kuhusu Wanaume kamili wanaojielewa siyo wale nyege mkononi....

Ni kwamc wanaume wote makini ukiweka mapenzi pembeni wanaangalia zaidi IQ ya mwanamke na akishaigunduwa swala ndoa wala utamuuliza wewe mwanamke ni yeye mwenyewe anapropose kwa ukweli kabisa,

Tatizo kubwa naliona hasa la uchumba Sugu ni kwamba wanawake wengi warembo wana poor IQ na wanaume huwa wanakuwa kama spotlight tu na kuoshea tu, lakini ikifika issuue ya kuoa utashangaa mwanamke anayemuoa anakuwa siyo mzuri sana kivile kama huyu mrembo ambaye hakumpa heshima ya kuwa mke.

Si kwamba wanaume wanawaogopa wanawake warembo hapana ila wengi wao yale madraya ya salon yameshaharibu ubongo wa wanawake wengi.

ukitaka kuthibitisha hili wachunguze sana wanawake wanaonyoa vipara, wanaochana tu nywele zao asili na kufanya air cut kuna kitu utagunduwa.
 
Last edited by a moderator:
hahaha nadhani nilishaistukia hii siri siku mingi sana. ndio maana kuna mtu anamshangaa paw kwa kuwa na mwanamke mkorofi na asie mrembo (mweeh mie mrembo kiduchu bwana, snowhite njoo uthibitishe jamani). Au kuna mtu anashangaa why unakuwa unamzimikia wifi lara 1 na anavyoandika kinduli nduli.

Shida ni je, IQ ni death sentense? Manake unafanyaje kujiongeza? Manake jamani mtu mwenye IQ ndogo ni mzigo. Smallest thing anakuwa offended!


Kwa hiyo unasemaje #missIQ
 
Last edited by a moderator:
most men with lower IQ. Mwanaume mwenye IQ ya juu hawezi kuwa intimidated hata siku moja. Mnabishana, mnashauriana, mnatofautiana na kisha mnakubaliana hata kama ikibidi kukubaliana kutofautiana. Halafu maisha yanaenda tu na matabasamu tele
most men seem intimidated when they deal with smart women i have found
 
. Nadhani hujafahamu neno iq
wewe mama Evz,guts za kuniquote umepata wapi...???

kama ndio iq zinapatikana hivyo kwa kupost na kushinda jf basi ntakuunga mkono.
hapo kwenye blue record zako zinaonesha jinsi ulivyo na iq kubwa...(visanga vyote hivi at just the age of 21..what a drama queen!!)
vigodoro kuanza rasmi kesho. Hakuna kulala mpaka heshima ipatikane.

Started by Evz, 28th July 2014 21:28
kanipa likizo mpaka kombe la dunia liishe.

Started by Evz, 17th June 2014 17:31
Mambo yamekuwa mazito kwenye ndoa yangu

Started by Evz, 11th June 2014 16:32
Nina ujauzito, tatizo langu mguu wa kulia unaniuma sana

Started by Evz, 9th June 2014 23:10

wanaume wa type hii huwa wananikosha.

Started by Evz, 7th June 2014 16:31
nataka nimsaliti lakini naogopa

Started by Evz, 17th May 2014 15:57
Mume wangu ananifundisha kunywa pombe

Started by Evz, 16th May 2014 00:11
Mme wangu anatembea na rafiki yangu
Started by Evz, 15th May 2014 14:18

Niamini leo kuwa ndoa ni ndoano

Started by Evz, 16th May 2014 17:19
 
i am like a big road with a lot of signs.
When you are driving through this road, dontcha complicate your mind. Utasandaaaaa!
Afu nimekumisije, umekula idd mwenyewe mwenyewe?
Ndio unapruvu IQ kwa majibu kama ya Mesiah???!!
 
i am like a big road with a lot of signs.
When you are driving through this road, dontcha complicate your mind. Utasandaaaaa!
Afu nimekumisije, umekula idd mwenyewe mwenyewe?

H aha haaaaa yule mwehu mwenzio "dont study me coz u will never graduate" aka Kongosho ndio anakumbwembwelize???!!!

We si uko bize bhanaaa!!!!
Ila ujue kaka ndio mshua just incase!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha yule mwehu kimeo sana aisee, ataniharibu kichwa. Mie ntoto wa watu akhuuuu, mpoleeee kama maji ya mtungini. Ofcoz kaka ni mshua wa ukweli ukweli, haina ubishi hapo.

#nikobusy
H aha haaaaa yule mwehu mwenzio "dont study me coz u will never graduate" aka Kongosho ndio anakumbwembwelize???!!!

We si uko bize bhanaaa!!!!
Ila ujue kaka ndio mshua just incase!!!!
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kusikia hiyo ya mwanamke mwenye IQ kubwa ndio nasikia kwako.Maana kama ana IQ kubwa unaipimaje?
Ina maana yeye kushindwa kuishi na mwanaume ndio IQ kubwa? Au tayari ni tatizo maana hataolewa kwani mwanaume anabaki kwa nafasi yake tu.
 
Back
Top Bottom