hivi umbea na kutotunza siri ni sawa!!??hahaaa kwahiyo sie wambea..lol jaman..huu msuto wa weekend huu!!!hmmm
kivipi hapo red? kirafiki, kindugu, kibiblia(lol) au?
kivipi hapo red? kirafiki, kindugu, kibiblia(lol) au?
kumbe msemo wa "mmbea kama mwanamke" unaukweli kidogo ndani yake -_-
labda kwa mambo mepesi mepesi ,,,,,,, wanawake kwa siri nzito nzito wanakufaga nazo mkuu!!!!!!!!!!!.
kabisa!!!
Haswaa ,naona wewe umejua naongelea nini!!!!!!!!!! na experience inafundisha kuliko shule.
Mkuu Lyagwa wewe sasa unawachokoza Waislam unatumia neno (Suna) kwa mambo ya umbeya ungelisema tu Mwanamke kusutwa ni kitu cha kawaida mkuu shauri yako mchanga wa pwani huo mimi simo.This is very true, thus why they used to say mwanamke kusutwa ni suna and the majority are like that.
Mkuu Lyagwa wewe sasa unawachokoza Waislam unatumia neno (Suna) kwa mambo ya umbeya ungelisema tu Mwanamke kusutwa ni kitu cha kawaida mkuu shauri yako mchanga wa pwani huo mimi simo.
aaah wapi. kuna wanawake tunajua kuweka siri na kujikausha kama wachawi. yaani unajua kitu na unabaki unamchora mtu kimyaaaa!