Women cannot keep a secret

Women cannot keep a secret

Msiri wangu Kaizer upo? Hivi siri zako nani huwa anakutunzia?
 
Last edited by a moderator:
hivi kama ni wewe najua kitu chako nisikwambie..........? ukiuliwa shauri yako.....shukuru hata una mtu wa kukwambia..........

inathibitisha Kuwa ni kweli... ukweli mtupu?
 
Case study ya kwanza fatilieni blog zinazomilikiwa na wadada Vs za wanaume!!!
 
The evarage hunman being wheter he or she can not keep secret, unless otherwise

Mh Boflo tafiti zako si za kweli, ukimpata mwanaume mbeya basi dkika moja inatosha kusambaza umbeya!
 
Yah! I've even been licensed for that! Wanna tell me your little secret? Just go ahead, it'll be safe with me:tape2::tape2::tape2:.

i have a secret wanna share with you ...
 
ila umbea unakereketa jamani kukaa nao!
mweh!unaweza kupaliwa ujue!:tape2::tape2::tape2:nabanwa mwenzenu!
 
::
true,
Men are strong and silent, women are weak and talkative.
=
 
Back
Top Bottom