Hehe Roulette kwanza mbona huonekaniki siku hizi?Hiyo source ya Boflo unaionaje? hajaweka link wala reference ya makala! eti 47 hr and 15 min. lol
Mi umbea wote wa JF nimepokea toka kwa wanaume
zamani sawa naweza kukubali ila siku hizi wanaume ni wambea sana chati yao iko juu.